friji za coca cola na pepsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

friji za coca cola na pepsi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kadudu, Sep 21, 2009.

 1. K

  Kadudu Member

  #1
  Sep 21, 2009
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wana JF,naomba kwa anayejua taratibu za kupata mafriji ya coca cola na pepsi ili nami niwe mjasiriamali
  nawasilisha
   
 2. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wabongo kwa kupenda vya cheee....! Kama ujasiriamali mpaka upewe friji ya bure? Anyway kikubwa lazima wale jamaa uwe ume-establish urafiki nao......sio rahisi wakupe friji from nowhere. Na kue-establish urafiki nao lazima uwe mteja wa kitambo na position ya kibanda/duka nk unapofanyia biashara liwe strategic ambalo either kuna mauzo mengi au ni sehemu nzuri kwao kutangaza biashara yao.
   
Loading...