WAKU-GOOGLE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 950
- 623
Habari ndugu zangu.!
Nina mpango wa kununua friji isiyozidi Lita 200. Napata shida katika kuchagua kwa kuwa sina uzoefu, Naomba mnisaidie kutambua sifa za friji ambayo haitatumia umeme(units) mwingi na jinsi ya kukagua dukani friji kujua hizo sifa.
Nipeni uzoefu katika hili.