friji mpya

kuruga

Member
Dec 4, 2016
13
2
habari,naombeni mnisaidie ni friji gani ambayo ni nzuri kwa matumizi ya nyumbani yenye gharama hadi ya sh 700000 humo,radio nzuri yenye mdundo mzuri pia na tv flat inch 32
 
Hiyo 700,000 ndo unataka ununue friji nzuri,flat screen na home theatre? (Maana ndiyo radio ya mdundo Mzuri)?
 
Yaani sijaelewa vema.bajeti ya laki saba unataka vitu(friji ,tv flat,theatre)vyote ivyo?unataka kuwa marafiki na bidhaa uhusika?
 
habari,naombeni mnisaidie ni friji gani ambayo ni nzuri kwa matumizi ya nyumbani yenye gharama hadi ya sh 700000 humo,radio nzuri yenye mdundo mzuri pia na tv flat inch 32
Nikwambie kitu utaishia kupigwa
-friji nzuri kwa matumizi ya kawaida si chini ya laki 4
-Subwoofer nzuri si chini ya lake moja na ishirini
-TV flat screen durable si chini ya laki 5
Hivi vyote at least vina guarantee ya mwaka
Kwa kujibana andaa milioni moja
 
nashukuru ndugu

Similar Discussions

Back
Top Bottom