Friji jipya na box lake na funguo zake

MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,740
1,004
Kampuni Boss, nilinunua mwezi wa 10, used for 2 months, ukiwa maji dk 20 yanakuwa jiwe, ina milango miwili na sehemu ya kungandishia, ni froth free, ina warranty na fridge protector njoo, urefu kimo cha mtu mzima average, fasta nikupe kwa bei poa kabisa nina shida!
Nikifika nikifika nitawatumia pic

Dar hapa hapa!
Njoo PM
 
Mimi nakukaa kote hapa mjini sijajua bei poa ndo kiasi gani, sijui ndo ushamba huu. Naomba mnisaidie wadau
 
Anyway nilinunua laki 9 na 40 kwa official agent

Nipe tsh laki 6 na 50

Tusaidiane kusoma namba na kuna vitu vingine pia kama sofa mkipenda, TV 42' DSTV, Etc(vitu lukuki

Ila naanza na Friji
 
Kweli hizi namba zinasomeka mubashara, pole sana Mkuu ila kuuz vitu vya ndani sio suluhu ya matatizo tafuta namna ya kutatua tatizo badala ya kuuza uza vitu vya ndani
 
Kweli hizi namba zinasomeka mubashara, pole sana Mkuu ila kuuz vitu vya ndani sio suluhu ya matatizo tafuta namna ya kutatua tatizo badala ya kuuza uza vitu vya ndani
Sina mtaji MKUUU, wacha nianze na hivi nitapata vingine mbele ya safari niendako
 
Anyway nilinunua laki 9 na 40 kwa official agent

Nipe tsh laki 6 na 50

Tusaidiane kusoma namba na kuna vitu vingine pia kama sofa mkipenda, TV 42' DSTV, Etc(vitu lukuki

Ila naanza na Friji
Hapo sasa ndio biashara inafanyika vema, bei ndio angalizo muhimu. Umefanya vema kuanisha bei
 
4719108605d32e2e82c6bed7b22e93cc.jpg

Niko safarini kuelekea mjini but this piece of photo will satisfy your

Inaniuma ujue.... magufuli Mungu anakuona
 
Njooni inbox na 650 niwape mzigo kesho, hii warranty card
Wara
ca954681bf4375f26083490e1a84c91d.jpg
 
Back
Top Bottom