Friend's With benefit

Wakuu kuna dada nilikua natoka nae sasa leo kaniambia eti anaomba tubaki marafiki tu! wa kawaida eti kama nitakua namuhitaji atakua anakuja tupige mambo.
Hii imekaa vipi kuna mtu ilishawai mtokea embu tupeane kidogo mawazo.
imekaa ivyo ivyo tu mkuu kama ilivyo.
 
Itakuwa huna pesa lakini unajua kufcuk
Jamaa aliyempata anazo pesa ila hajui kufcuk

So anachofanya ni kuhakikisha anatumia available resources effectively...yaani pesa anapata kwa jamaa mwingine halafu masuala yake ya genye unamaliza wewe
upo vizuri katika kuelezea
 
Good afternoon beautiful FS. My Sunday is cool just waiting to watch few games on TV labda na usafi wa hapa na pale. Otherwise nothing special.
Ooh It's nice to hear that BAK, I'm also fine, are you waiting for the Arsenal game? Enjoy.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Itakuwa huna pesa lakini unajua kufcuk
Jamaa aliyempata anazo pesa ila hajui kufcuk

So anachofanya ni kuhakikisha anatumia available resources effectively...yaani pesa anapata kwa jamaa mwingine halafu masuala yake ya genye unamaliza wewe
Umemaliza kila kitu. Mwambie jamaaa azidi kupiga gym. Maaana akiacha ataipoteza hata hiyo status ya friend with benefit
 
Dah mzee una bahati kinoma...
Hayo ndio mahusiano ninayoyataka ..hakuna kupigiana simu wala kuchati hadi saa 7 usiku.
Mnatafutana siku ya game tu
 
Back
Top Bottom