Friends... I am happy its friday, nahalalisha leo

Habari yako MJI...upo? karibu ulanzi huku usalule..
Kimey......sijambo babu yangu nimebanwa tu na mkoloni nahisi amedablisha dose ya viagra haki ya nani maana anavyonitenda mwisho wa mwaka huu........ sipati kukwambia.
 
NL uko wapi wewe??

Nimesoma mtu anasema kalabash... halafu Teamo anasema JJ, this is what i dont understand

which is which guys

....bond boy...niko mbali sana mzee.....ila next weekend takuwa mjini hapo!
 
tgif2.gif
 
Kimey......sijambo babu yangu nimebanwa tu na mkoloni nahisi amedablisha dose ya viagra haki ya nani maana anavyonitenda mwisho wa mwaka huu........ sipati kukwambia.
Pole sana mamito kwani na wewe mkoloni wako ni tineja? hahaha sasa nadhani mchemsho wa mdudu utakufaa zaidi hiyo viagra haitafanya kazi!
 
Pole sana mamito kwani na wewe mkoloni wako ni tineja? hahaha sasa nadhani mchemsho wa mdudu utakufaa zaidi hiyo viagra haitafanya kazi!
Yaani acha tu.......ni tineja mnyanyua vyuma.....hachoki upesi nakwambia

Acid we are happy to have you back bro....safe n sound (Kimey mkaribishe Acid tusijehamishwa meza kwa kuchakachua sredi)
 
Pole sana mamito kwani na wewe mkoloni wako ni tineja? hahaha sasa nadhani mchemsho wa mdudu utakufaa zaidi hiyo viagra haitafanya kazi!
ntawahamisha meza sasa hivi
 
wacha tu mamie, mafaranga dearest, unayasaka mpaka yanakupa wazimu...muda wakutembelea kjiwe una kuwa mdogo.......mhhh nitakuja huko mfululizo yaani nitakushtua usihofu.....kwema lakini?

kwema kabisa.....tafadhali ufanye hivyo
 
halafu wewe!!! Nimekuja hadi Lahore na ukanikaukia wakati nilikuomba simu... shame on you

Jamani Acid mbona wataka kunifanya nilie wallahi......ooh God life is so miserable huku angalau ningepata kanafasi ka kukuona i would feel better.....lakini I dont remember you asking for my number seriously.....
 
Still valid....wacha nisepe....ntawasaka hadi niwapate...:car:...wapi funguo za vespa yangu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom