Mkuu, si umepewa pesa ya uhamisho, njoo navyo tu Dodoma maana huku bei iko juu.Kwema wakuu,,
ninauza vitu vyangu vya ndani kama ifuatavyo:
kabati la vyombo 4"kwa 5" mbao mninga 500,000tzs
dining table na viti vyake 200,000tzs
sofa la watu 5 L shape 500,000 tzs
Fridge 280,000tzs
unaweza kulipa kwa awamu kama utachukua zaid ya kitu kimoja.
kwa maelewano na picha,ni pm.
Huyu yuko huko huko Dodoma, siyo uhamisho bali vyuma vimekaza mkuu hataki kuachia angalau kidogoMkuu, si umepewa pesa ya uhamisho, njoo navyo tu Dodoma maana huku bei iko juu.
dodoma kuna mbezi?? acha kuropoka ropoka hovyoHuyu yuko huko huko Dodoma, siyo uhamisho bali vyuma vimekaza mkuu hataki kuachia angalau kidogo
Hongera vitu vyako vizuri, binafsi nimevielewa....
Ukifanikiwa kuviona nitag mkuu, maana na mm macho kodo lakini wapiUmevionaje mkuu maana nimejaribu kukodoa ila nimeambulia patupu
nimeassume tuUmevionaje mkuu maana nimejaribu kukodoa ila nimeambulia patupu
nimeassume tu