Fridge la mtumba v\s la dukani

Hisense zipo za aina mbili hapa Tanzania zipo zenye Invetors na zisizo na invetors.So unapoenda dukani uliza utaonyeshwa zote aina mbili.Zenye invetors ,zinaanzaia Laki nane na kuendelea
Invertor inasaidia nn kwenye fridge mkuu
 
Invertor inasaidia nn kwenye fridge mkuu
invetor inasaidia matumizi kiduchu ya Umeme.Mfano friji hizi za mitumba za 2010-2015- zinabugia umeme units mpaka 6 au zaidi kwa siku. hizi azizidi unit 2.kwa siku(24hrs) matumizi ya umeme mwaka mzima bila kuizima friji yenye invetor ni laki nanusu mpaka 3.Wakati hizi zingine ni mamilioni! Kuna watu wengi ata wafanya biashara wanazima friji usiku kupunguza matumizi ya umeme! ukiwa na hizi zenye invetor no kuzima mwaka mzima na umeme kwa jumla unalipa laki tatu kwa friji
 
Back
Top Bottom