Fridge / friji inauzwa nzuri sanaa

MR_LAWTON

Member
Jul 15, 2017
90
57
PROLINE FRIDGE INAUZWA
- Imported from UK
- Inagandisha kwa haraka sana na inapiga mzigo vizuri mno
- ina milango miwili
- Juu friji ya kawaida, chini freezer

Bei:- Tsh 260,000/=, maongezi yapo kidogo.

Call, sms or whatsapp:- 0657333769 or 0788078777
IMG_20191015_204453_0.jpg
IMG_20191015_204416_4.jpg
IMG_20191015_205232_8.jpg
 
Kwahiyo hii takataka haiijiuzi hadi useme "Made in UK"? Hadi hapo ushadanganya eti ni "nzuri sanaa".
 
Kwahiyo hii takataka haiijiuzi hadi useme "Made in UK"? Hadi hapo ushadanganya eti ni "nzuri sanaa".
Acha unafiki, Kama sio mnunuzi usitoe kejeri kitu hujaona.
Punguza maneno yasio na maana..heshimu Biashara ya mtu na soma uelewe.
Njoo na pesa tufanye Biashara.
 
Back
Top Bottom