Friday the 13th - Ni kesho nini?

...at this hour 13:06:08 something ~horrible~ might happen,

Mind the Gap!!!!

We Mwanga...

hakijatokea kitu ila tu ni kwamba TANESCO wamekuja kunikatia umeme mida hiyo. Kisa SEAL za meter zimevunjwa, SEAL ambazo walivunja wao the last time they came.
 
We Mwanga...

hakijatokea kitu ila tu ni kwamba TANESCO wamekuja kunikatia umeme mida hiyo. Kisa SEAL za meter zimevunjwa, SEAL ambazo walivunja wao the last time they came.

...ha ha ha, don't believe everything you read, it's just a coincidence,

pole sana!
 
jamani ninaomba nifafanulieni vizuri nini kinaendelea juu ya hii tarehe? maana nimezaliwa tarehe hii !! msaada kwenye tuta wajameni ung'eng'e kwangu haupandi kabisa

...woow.

happy birthday Sra,

Dont worry, be happy!!!
 
Code:
Mzee mbona saa saba bado ushatokea JF? Au umeamua kukomaa hivyo hivyo? Liwalo na liwe!!!


...we acha tu, hapa tunaelekea 16:54 sasa (kumi na moja kasoro sita), mchana umepita salama salmini alhamdulillah!...

kama huko ulipo 'time' bado, MIND THE GAP!!!!
 
mwisho wa dunia ba ndugu ni ile siku yako mwenyewe ukipeana talaka na dunia![/QUOTE]
Kaka hiyo ni bangi ya wapi
 
Back
Top Bottom