Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Hiki kipindi kwa muda mrefu kimekuwa hakizingatii maadili hasa kwa kina dada wanaoenda hapo studioni kwa ajili ya interview, wengi wao wamekuwa wakivaa nusu uchi kama si uchi kabisa. Wahusika mnaohusika na maadili mko wapi? Hebu angalieni jinsi ya kutumbua hilo jipu