French ndo lugha rahisi duniani

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
682
1,782
Kwenye Kifaransa ukijua jinsi gani ya kutumia hizi verbs mbili tu kwenye nafasi ya kujua Kifaransa una asilimia 50% hizo zingine jifunze tu spelling

Verbe être (verbe etre) verb to be
And verbe avoir ( verbe avare) verb to have

Verbe être ( verb to be) present
Je suis ( je swi) mimi ni
Tu es( tue) wewe ni
Il ( elle (she)( ile)( ele) yeye ni
Nous sommes (nusome) sisi ni
Vous êtes ( vuzete) ninyi ni
Ils sont (elles ont kwa wanawake) ( ilson, Elson) wao ni

Verbe avoir ( verb to have) present

J'ai ( je) nina
Tu as (tua) una
Il a (elle) ( lla au ela) ana
Nous avons (nuzavo) tuna
Vous avez (vuzave) mna
Ils ont ( ilzo)

Ukitaka kutumia Perfect tense
Utachukuwa hizi verb kuzitumia
Mfano ukitaka kusema nimekula
Utachukuwa hiyo verb to have ku present
Unatumia naneno kula (manger)
Ku perfect tense unatowa ( r kwenye neno manger Yaani maneno yote ambayo yana malizika na er ukitaka kuzitumia ku Perfect tense utakuwa una towa( r) na kwenye ( e) una ongeza arcent (é)

Manger (maje) kula
Parler (parle) kusema
Ajouter (ajute) kuongeza

Ni nyingi

Na ukitaka kuzitumia ku present
Kwenye yale maneno yote ambayo ya alizika na (er) unatowa ile R mwisho kunabaki e
Mfano ( parler) je parle ninasema

Mwisho kabisa Kifaransa kigumu
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
10,470
24,971

Kwakweli sijui mimi kilaza, nimejifunza kifaransa toka la pili hadi la sita ila hata sentensi siwezi kutunga.
Nikatoka hapo nikajifunza tena form 1 hadi 2 lakini bado nikatoka kapa.
Nadhani spanish ndio lugha nyepesi kabisa maana hata kwa kujifunza mwenyewe nimeweza kuzungumza na kuielewa kiasi
 
American nigga

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
605
746
l
giphy.gif
 
Jorge WIP

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
3,190
4,408
Kwakweli sijui mimi kilaza, nimejifunza kifaransa toka la pili hadi la sita ila hata sentensi siwezi kutunga.
Nikatoka hapo nikajifunza tena form 1 hadi 2 lakini bado nikatoka kapa.
Nadhani spanish ndio lugha nyepesi kabisa maana hata kwa kujifunza mwenyewe nimeweza kuzungumza na kuielewa kiasi
Nahisi ni mapenzi binafsi ya Lugha ukiipenda unajituma na unaifahamu...
gracias
 
Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
3,659
4,552
Kwenye Kifaransa ukijua jinsi gani ya kutumia hizi verbs mbili tu kwenye nafasi ya kujua Kifaransa una asilimia 50% hizo zingine jifunze tu spelling

Verbe être (verbe etre) verb to be
And verbe avoir ( verbe avare) verb to have

Verbe être ( verb to be) present
Je suis ( je swi) mimi ni
Tu es( tue) wewe ni
Il ( elle (she)( ile)( ele) yeye ni
Nous sommes (nusome) sisi ni
Vous êtes ( vuzete) ninyi ni
Ils sont (elles ont kwa wanawake) ( ilson, Elson) wao ni

Verbe avoir ( verb to have) present

J'ai ( je) nina
Tu as (tua) una
Il a (elle) ( lla au ela) ana
Nous avons (nuzavo) tuna
Vous avez (vuzave) mna
Ils ont ( ilzo)

Ukitaka kutumia Perfect tense
Utachukuwa hizi verb kuzitumia
Mfano ukitaka kusema nimekula
Utachukuwa hiyo verb to have ku present
Unatumia naneno kula (manger)
Ku perfect tense unatowa ( r kwenye neno manger Yaani maneno yote ambayo yana malizika na er ukitaka kuzitumia ku Perfect tense utakuwa una towa( r) na kwenye ( e) una ongeza arcent (é)

Manger (maje) kula
Parler (parle) kusema
Ajouter (ajute) kuongeza

Ni nyingi

Na ukitaka kuzitumia ku present
Kwenye yale maneno yote ambayo ya alizika na (er) unatowa ile R mwisho kunabaki e
Mfano ( parler) je parle ninasema

Mwisho kabisa Kifaransa kigumu
Mkuu umenikumbusha french olevel nilivyokua naigumua😂😂 sema nini kuna hizi lugha tatu kifaransa ,kihispania na kireno ni kama vile vinaendana sema tu matamshi ndiyo yanapishana
 
Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
3,659
4,552
Kwenye Kifaransa ukijua jinsi gani ya kutumia hizi verbs mbili tu kwenye nafasi ya kujua Kifaransa una asilimia 50% hizo zingine jifunze tu spelling

Verbe être (verbe etre) verb to be
And verbe avoir ( verbe avare) verb to have

Verbe être ( verb to be) present
Je suis ( je swi) mimi ni
Tu es( tue) wewe ni
Il ( elle (she)( ile)( ele) yeye ni
Nous sommes (nusome) sisi ni
Vous êtes ( vuzete) ninyi ni
Ils sont (elles ont kwa wanawake) ( ilson, Elson) wao ni

Verbe avoir ( verb to have) present

J'ai ( je) nina
Tu as (tua) una
Il a (elle) ( lla au ela) ana
Nous avons (nuzavo) tuna
Vous avez (vuzave) mna
Ils ont ( ilzo)

Ukitaka kutumia Perfect tense
Utachukuwa hizi verb kuzitumia
Mfano ukitaka kusema nimekula
Utachukuwa hiyo verb to have ku present
Unatumia naneno kula (manger)
Ku perfect tense unatowa ( r kwenye neno manger Yaani maneno yote ambayo yana malizika na er ukitaka kuzitumia ku Perfect tense utakuwa una towa( r) na kwenye ( e) una ongeza arcent (é)

Manger (maje) kula
Parler (parle) kusema
Ajouter (ajute) kuongeza

Ni nyingi

Na ukitaka kuzitumia ku present
Kwenye yale maneno yote ambayo ya alizika na (er) unatowa ile R mwisho kunabaki e
Mfano ( parler) je parle ninasema

Mwisho kabisa Kifaransa kigumu
Très bien
 
raraa reree

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,250
6,444
Hii lugha kwangu mm naona haina vibe kabs tokea mara ya kwanza naanza kufundishwa sijawahi kuipenda tofauti na kiingereza
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
10,784
8,103
Kwenye Kifaransa ukijua jinsi gani ya kutumia hizi verbs mbili tu kwenye nafasi ya kujua Kifaransa una asilimia 50% hizo zingine jifunze tu spelling

Verbe être (verbe etre) verb to be
And verbe avoir ( verbe avare) verb to have

Verbe être ( verb to be) present
Je suis ( je swi) mimi ni
Tu es( tue) wewe ni
Il ( elle (she)( ile)( ele) yeye ni
Nous sommes (nusome) sisi ni
Vous êtes ( vuzete) ninyi ni
Ils sont (elles ont kwa wanawake) ( ilson, Elson) wao ni

Verbe avoir ( verb to have) present

J'ai ( je) nina
Tu as (tua) una
Il a (elle) ( lla au ela) ana
Nous avons (nuzavo) tuna
Vous avez (vuzave) mna
Ils ont ( ilzo)

Ukitaka kutumia Perfect tense
Utachukuwa hizi verb kuzitumia
Mfano ukitaka kusema nimekula
Utachukuwa hiyo verb to have ku present
Unatumia naneno kula (manger)
Ku perfect tense unatowa ( r kwenye neno manger Yaani maneno yote ambayo yana malizika na er ukitaka kuzitumia ku Perfect tense utakuwa una towa( r) na kwenye ( e) una ongeza arcent (é)

Manger (maje) kula
Parler (parle) kusema
Ajouter (ajute) kuongeza

Ni nyingi

Na ukitaka kuzitumia ku present
Kwenye yale maneno yote ambayo ya alizika na (er) unatowa ile R mwisho kunabaki e
Mfano ( parler) je parle ninasema

Mwisho kabisa Kifaransa kigumu
Hapo kwenye il/ elle est - yeye ni
 
senator_RK

Member
Jun 6, 2022
54
68
Kwakweli sijui mimi kilaza, nimejifunza kifaransa toka la pili hadi la sita ila hata sentensi siwezi kutunga.
Nikatoka hapo nikajifunza tena form 1 hadi 2 lakini bado nikatoka kapa.
Nadhani spanish ndio lugha nyepesi kabisa maana hata kwa kujifunza mwenyewe nimeweza kuzungumza na kuielewa kiasi
Nilisikia ukijua lugha moja kati ya kireno,kispaniora na kiitaliano basi unaweza kuzielewa hizo zote tatu kwa mpigo.je ni kweli?
 
antimatter

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
34,632
88,513
Hii lugha mie niliwahi kujitunza pale Alliance Francaise Dar, walikuwa wanafundisha na kueleweka vizuri, ila nilikosa muda wa kutosha nikaacha
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
8,179
7,927
Kwakweli sijui mimi kilaza, nimejifunza kifaransa toka la pili hadi la sita ila hata sentensi siwezi kutunga.
Nikatoka hapo nikajifunza tena form 1 hadi 2 lakini bado nikatoka kapa.
Nadhani spanish ndio lugha nyepesi kabisa maana hata kwa kujifunza mwenyewe nimeweza kuzungumza na kuielewa kiasi
Mkuu una vitabu vya Kispaniola ?
 
7 Reactions
Reply
Top Bottom