Fremu za kisasa zinapangishwa-musoma mjini opp nbc bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fremu za kisasa zinapangishwa-musoma mjini opp nbc bank

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Speculator, Mar 30, 2012.

 1. S

  Speculator Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jengo liko katikati ya mji na limejengwa kisasa na ubora wa hali ya juu flour ya vigae, Suspended Ceiling Boards, kila mpangaji na meter yake ya umeme, Very Busy area 16 business hours, panafaa sana kwa biashara zote ikiwemo financial Institutions, Communication Institutions M-Pesa, Tigo pesa, Grocery, Furniture's, Households, Garments n.k. kwa yeyote anayehitaji maelezo zaidi anitumie-PM, kodi inategemea ukubwa wa chumba na flour, ground flour au first flour, na usihofu ni makubaliano,. KARIBUNI WOTE
   
Loading...