Fremu ya biashara inapangishwa - ipo kati kati ya maduka mawili na bora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fremu ya biashara inapangishwa - ipo kati kati ya maduka mawili na bora

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbwambo, Apr 2, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Ipo kati kati ya boara na maduka mwili. Inatazama barabara ya changombe
  ina mlango wa ku-slide na floor tiles nzuri
  kwa maelezo juu ya bei na ukubwa wasiliana na no.0713 68 96 65
   
 2. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  weka hapa kila kitu ukubwa na bei usitake kupigiwa simu sana ni usumbufu
   
 3. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Wengine wanapenda simu zao zikiwa zinaita kila mara, kwani kuna ubaya gani kuweka bei na ukubwa wa sehemu hapa ili atakaeridhika ndio akupigie kwaajili ya kuona na kulipa tu.
   
 4. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Asante wakuu nitamuuliza aliyenipa kazi hii na nitawaambia
   
Loading...