edward93
JF-Expert Member
- Joined
- Jun 27, 2015
- Messages
- 243
- Points
- 500
Kichwa cha habari kinahusika!
Msaada! Natafuta fremu ya biashara morogoro mjini wakuu! Bajeti yangu 10k-150k! Maeneo ya sabasaba ndio target yang au kama sehemu nyngne basi yenye msongamano! Nawasilisha.
Mazimbu road vip panakufaa je aina gani ya biashara unataka kuifanya