Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Jamani hebu acheni kupotosha jamii,ni vena kama kitu hukijui ukakaa kimya.

Freemasonry ni social service organisation kama ilivyo rotary,lions zenye malengo tofauti,mfano lions service platform yake ni paediatric cancer,diabetics,vision,hunger relief na environmental, rotary imejikita zaidi kwenye sports,na environmental
MTU anapoinuka na kusema freemasonry ni dini eti kaambiwa na she he yahaya na wanachama hawajui ni uwongo usio na kichwa wala miguu.

Niwape uelewa kwenye akili zinazofanya kazi watanielewa 1.inaitwa freemasonry taufa herufi hizo kwenye mtandao
2.moja ya sifa za kujiunga "you must be a man with a good reputation 3.you must be able to support yourself
3.you must have your own religion

Yaani uweze kuea na kipata chako,use ni muumini Wa dini yako nabuwe na tabia au matendo mema kwenye jamii isitoshe freemasonry hujipeleki unaitwa yaani unakuwa sported kisha unakuwa invited na kuwa oriented,na kama ilivyo sheria za vikundi kuacha vikoba mlivyozoea pana mafunzo na kozi za uongozi.

Sasa wewe unaesema freemasonry ni dini au wanatoa kafara we ni shetani namba moja na mungu akurehemu
Tatizo watu wanapenda kusikia story za vijiweni na kwenye kahawa wanaruhusu akili zao kutofanya kazi kisa wamehadithiwa haapendi kusoma kabisa machapisho,vitabu wanaishia ushabiki Wa kijinga.

Freemasonry imekuwa na michango kadhaa kama ujenzi Wa mahispitali ,makanisa na miundombinu mfano kabisa LA roman mt.Thoma's kigogo/mburahat ni msaada Wa Freemasonry, na mengineyo mengi.

Ni uzushi na uongozi kuna swali huwa watu wanauliza eti ukiwa freemasonry unapewa pesa?

Jibu: Ni uzushi chanzo cha pesa za freemasonry ni ada na machangizo mbalimbali, pana fees za kawaida,pana district fees na international fees, licha ya hayo pia pana muchango mbali mbali.

Kuna wajinga wanadiriki kusema kabisa LA freemasonry lipo Posta

Jibu: Tutumie akili pameeandikwa freemasonry hall sio church ,tusiwe wavivubkufikiria ile ni ukumbi Wa mikutano na vikao vidogo na vya kawaida.mwenye maswali atanifata ila huwezi kuwa na kashfa za ngino au sifa mbaya halafu ukawa Freemasonry watu wanazusha marehemu Fulani ,sijui mwanamziki Fulani huo ni uongo


Ndugu, hayo maelezo marefu uliyotoa sio kweli. Umepotosha wasomaji. Naamini ndivo na wewe walivokudanganya ili na wewe uwadanganye wengine. Naamini hujadanganya kwa makusudi bali na wewe ulidanganywa.

Ukweli halisi ni kuwa hayo makundi yote uliyotaja yaani Freemason, Lions, Rotary na mengine mengi (hayapungui 900! duniani kote) ni makundi ya kutekeleza mpango wa Shetani kudanganya walimwengu.
 
My,huna unalolijua...hayapungui 900 takwimu ulipata kwa shehe yahya?au kwenye vijiwe vya kahawa, Mimi ni member kwenye hizo org, lions wapo zaidi ya 1.3m, sio member tu Bali ni kiongozi nicheki private nikupe elimu tuongee kwa ushahidi na vielelezo sio reference za kihuni.namba yangu ni 0754608152/0759005000, nikupe elimu, kweli usilolijua ni usiku wa Giza,Mimi ni snr.member na nipo GLT/GMT pia
 
habari wakuu.
nmekuwa nikisikia uwepo wa freemason kila kona, hiki chama kinasemekana ni dini yashetani, kwamba ukiwa mwanafamilia wa huko unakuwa namaisha mazur mimi nahitaji kujua kwamba kwel iko chama ninachokisikia muda mlefu kipo kweli au ni uzushi tuu wawatu, nakama kweli kipo nisifa gani uwe nayo ili kuwa mwanafamilia wakikundi hiko, na je nikweli hiki chama kinakupatia utajili?.
kwenu wajuzi.
Asant.
masonic-temple-fort-collins-picture-id533378673.jpeg
the-steps-of-freemasonry-from-a-private-collection-picture-id464418977.jpeg
freemasons-greet-each-other-by-handshakes-at-an-event-at-earls-court-picture-id527445460.jpeg
the-steps-of-freemasonry-from-a-private-collection-picture-id464418977.jpeg
 
Kazi kwako

FREEMASON TENA NCHINI TANZANIA .KUJIUNGA NUNUA FORM YETU KWA T-SH'13,000/= BAADA YA USAJILI UTAPEWA MTAJI MILIONI HAMSINI 50.000.000 PIGA 0742868630
 

Similar Discussions

40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom