MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,159
- 5,399
Elewa andishi langu.Mbona mwenge amegoma kuuweka jumba la makumbusho wakati hauna maana kwa nchi ni tambiko tu.Nakataaa Nyerere na Magufuli hawamo..
Elewa andishi langu.Mbona mwenge amegoma kuuweka jumba la makumbusho wakati hauna maana kwa nchi ni tambiko tu.Nakataaa Nyerere na Magufuli hawamo..
Kweli mapenzi vita ya uganda na ukimwi ulikua utawala wanbiHahaaaaaaa. Mapenzi haya bwana
Jamani mbona haya yote Sheikh Yahya kayaonesha Channel 10 au mnaasema channel 10 ya nchi nyingine sio ya Tz?
..wewe ni invisible mpaka uyajue haya yote..?!Ninachojua unaweza ukawa degree ya 33 na bado usiambiwe ukweli, yaan Freemasonry ni jamii ya siri kiasi kwamba hata wanachama wao hawajui nini kinaendelea katika jamii hyo, katika hii jamii imegawanyika katika makundi mawili invisible na visible, sasa wanaokuambieni haya ya kuhusu pesa kuwa imani kama ukristo au ni jamii inayosaidia watu, ni hawa kundi la visible ambao hawajui ukweli wanaojua ukweli ni invisible nao huwatumia visible kwa njia ambayo hata visible wenyewe hawajui wanatumikaje, kwahyo hii jamii nyie iacheni tu, yaan hata lodge ya Hawa invisible, visible hawajui ilipo, in short kuna siri kubwa sana nyuma ya pazia ambayo wanaojua hawawezi kuiandika kwa style ilivyoandikwa hii thread
Sent using Jamii Forums mobile app
nakuunga mkono mkuu..Ninachojua unaweza ukawa degree ya 33 na bado usiambiwe ukweli, yaan Freemasonry ni jamii ya siri kiasi kwamba hata wanachama wao hawajui nini kinaendelea katika jamii hyo, katika hii jamii imegawanyika katika makundi mawili invisible na visible, sasa wanaokuambieni haya ya kuhusu pesa kuwa imani kama ukristo au ni jamii inayosaidia watu, ni hawa kundi la visible ambao hawajui ukweli wanaojua ukweli ni invisible nao huwatumia visible kwa njia ambayo hata visible wenyewe hawajui wanatumikaje, kwahyo hii jamii nyie iacheni tu, yaan hata lodge ya Hawa invisible, visible hawajui ilipo, in short kuna siri kubwa sana nyuma ya pazia ambayo wanaojua hawawezi kuiandika kwa style ilivyoandikwa hii thread
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu,swala la kusema kuwa Tz sijui bado haijaunganishwa na hao jamaa mimi pia nakataaa ,kwa sababu wale jamaa walisambaaa mapema sana tukiwa bado tuko primitive na wakaweka alama na mambo yote katika kila angle ya duniaNi ngumu kukataa kuwa tz haijaunganishwa na freemason kiutawala kwa sababu zifuatazo.
1.Alama ya mwenge ambao ni moto huzungushwa nchi nzima na moto ni tambiko pia.
2.Uwepo wa nyoka ktk baadhi ya fedha za nchi hii ambazo hutumiwa na watu wote. Kwa asili kila mtz ni freemason bila kujielewa.
3.Ukifuatilia sana utagundua kuwa kila kabla ya uchaguzi wa raisi lazima mauaji maafa makubwa yatokee kisha uchaguzi rejea kuzama mv bukoba.meli kule nungwi na nyinginezo.Hizi ni kafara.
3.Tawala za sababu,hali hii inatokana na ukweli kuwa wanajiamini kwani muumini yeyote wa freemason hafungwi jela,hashindwi uchaguzi hata akataliwe vipi mnaweza mkashinda kura yeye akashinda uchaguzi kwa means yoyote ile.
Makanisa mengi yameunganishwa freemason hivyo hatari kuongezeka.Inahitaji kuomba na kumwabudu Mungu ktk roho na kweli pia huwezi kuwakwepa freemason ukiwa na tamaa ya pesa vyeo wanaweza Mali umaarufu kwani njia na mbinu zao ni kupitia huko.
Sio kweli huwezi kuwa member eti usijue halafu we usie member ndo ujue acha kupotosha tueleweshane kisomi na evidence sio ushabiki Wa kijiweni au kuhadithiwa na kiongozi wako Wa dini asiejua eti uapishwe upewe na katiba na induction usijue?na kama wewe sio member unajuaje taarifa hizo kama sio umbea?ni kama kutaka kujua jirani anaishije na hali si familia yako. Msipende kujifanya kujua msiojua Bali takeni kujuzwa ukweli na uhalisia. Cheki websitebya freemasonry, herufi nilizoandika,nenda kwenye hall omba kuonana na afisa yeyote au wasiliana na district grand master akusaidie usiandike usiyoyajuanakuunga mkono mkuu..
things operate in secret ways...
yani freemason members wengi hawajui system ilivyo.
Ukiangalia kwa umakini sana utagundua kuwa kuna system ya watu wasioonekana ndo wanawaendesha wanaoonekana..
Kama Reptilian brotherhood ndo wanahusika sana na hizi Royal families basi kuna siri nzito sana juu ya taasisi hizi.
Lakini kwanini sasa Reality haiweki wazi??
Naanza kuamini maneno ya Morpheus kwenyr movie ya The matrix alipokuwa anajibu swali la bwana mdogo NERO aliliuliza kuwa ,what is the matrix??
Jamaa akamjibu ,no one will tell you how the matrix reality is,but you are thr one to feel and understand it..
We are in the matrix system..you have to discover at your own..no one will tell you how the truth and reality is..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa mbona umemkazia sana mtoa post ? Unataka kusema wewe ndo upo sahii zaidi kushinda hao jamaa unaowakosoa ? Nauliza tu...Jamani hebu acheni kupotosha jamii,ni vena kama kitu hukijui ukakaa kimya.
Freemasonry ni social service organisation kama ilivyo rotary,lions zenye malengo tofauti,mfano lions service platform yake ni paediatric cancer,diabetics,vision,hunger relief na environmental, rotary imejikita zaidi kwenye sports,na environmental
MTU anapoinuka na kusema freemasonry ni dini eti kaambiwa na she he yahaya na wanachama hawajui ni uwongo usio na kichwa wala miguu.
Niwape uelewa kwenye akili zinazofanya kazi watanielewa 1.inaitwa freemasonry taufa herufi hizo kwenye mtandao
2.moja ya sifa za kujiunga "you must be a man with a good reputation 3.you must be able to support yourself
3.you must have your own religion
Yaani uweze kuea na kipata chako,use ni muumini Wa dini yako nabuwe na tabia au matendo mema kwenye jamii isitoshe freemasonry hujipeleki unaitwa yaani unakuwa sported kisha unakuwa invited na kuwa oriented,na kama ilivyo sheria za vikundi kuacha vikoba mlivyozoea pana mafunzo na kozi za uongozi.
Sasa wewe unaesema freemasonry ni dini au wanatoa kafara we ni shetani namba moja na mungu akurehemu
Tatizo watu wanapenda kusikia story za vijiweni na kwenye kahawa wanaruhusu akili zao kutofanya kazi kisa wamehadithiwa haapendi kusoma kabisa machapisho,vitabu wanaishia ushabiki Wa kijinga.
Freemasonry imekuwa na michango kadhaa kama ujenzi Wa mahispitali ,makanisa na miundombinu mfano kabisa LA roman mt.Thoma's kigogo/mburahat ni msaada Wa Freemasonry, na mengineyo mengi.
Ni uzushi na uongozi kuna swali huwa watu wanauliza eti ukiwa freemasonry unapewa pesa?
Jibu: Ni uzushi chanzo cha pesa za freemasonry ni ada na machangizo mbalimbali, pana fees za kawaida,pana district fees na international fees, licha ya hayo pia pana muchango mbali mbali.
Kuna wajinga wanadiriki kusema kabisa LA freemasonry lipo Posta
Jibu: Tutumie akili pameeandikwa freemasonry hall sio church ,tusiwe wavivubkufikiria ile ni ukumbi Wa mikutano na vikao vidogo na vya kawaida.mwenye maswali atanifata ila huwezi kuwa na kashfa za ngino au sifa mbaya halafu ukawa Freemasonry watu wanazusha marehemu Fulani ,sijui mwanamziki Fulani huo ni uongo
Wapi Huwa wanamwaga damu?Shy kama waweza nipatie hicho kitabu GREATEST WORLD SECRETS. Nionavyo mimi Freemasons ni hatari. Imani zao na matendo yao ndo ya kuogopa. Matambiko ni mengi ya kumwaga damu tena ya binadamu. Si imani natural hiyo? Ni ya kishetani na kuchawi niseme.