Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Ninachojua unaweza ukawa degree ya 33 na bado usiambiwe ukweli, yaan Freemasonry ni jamii ya siri kiasi kwamba hata wanachama wao hawajui nini kinaendelea katika jamii hyo, katika hii jamii imegawanyika katika makundi mawili invisible na visible, sasa wanaokuambieni haya ya kuhusu pesa kuwa imani kama ukristo au ni jamii inayosaidia watu, ni hawa kundi la visible ambao hawajui ukweli wanaojua ukweli ni invisible nao huwatumia visible kwa njia ambayo hata visible wenyewe hawajui wanatumikaje, kwahyo hii jamii nyie iacheni tu, yaan hata lodge ya Hawa invisible, visible hawajui ilipo, in short kuna siri kubwa sana nyuma ya pazia ambayo wanaojua hawawezi kuiandika kwa style ilivyoandikwa hii thread

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..wewe ni invisible mpaka uyajue haya yote..?!

nakuunga mkono mkuu..

things operate in secret ways...
yani freemason members wengi hawajui system ilivyo.

Ukiangalia kwa umakini sana utagundua kuwa kuna system ya watu wasioonekana ndo wanawaendesha wanaoonekana..

Kama Reptilian brotherhood ndo wanahusika sana na hizi Royal families basi kuna siri nzito sana juu ya taasisi hizi.

Lakini kwanini sasa Reality haiweki wazi??

Naanza kuamini maneno ya Morpheus kwenyr movie ya The matrix alipokuwa anajibu swali la bwana mdogo NERO aliliuliza kuwa ,what is the matrix??
Jamaa akamjibu ,no one will tell you how the matrix reality is,but you are thr one to feel and understand it..

We are in the matrix system..you have to discover at your own..no one will tell you how the truth and reality is..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu kukataa kuwa tz haijaunganishwa na freemason kiutawala kwa sababu zifuatazo.
1.Alama ya mwenge ambao ni moto huzungushwa nchi nzima na moto ni tambiko pia.
2.Uwepo wa nyoka ktk baadhi ya fedha za nchi hii ambazo hutumiwa na watu wote. Kwa asili kila mtz ni freemason bila kujielewa.
3.Ukifuatilia sana utagundua kuwa kila kabla ya uchaguzi wa raisi lazima mauaji maafa makubwa yatokee kisha uchaguzi rejea kuzama mv bukoba.meli kule nungwi na nyinginezo.Hizi ni kafara.
3.Tawala za sababu,hali hii inatokana na ukweli kuwa wanajiamini kwani muumini yeyote wa freemason hafungwi jela,hashindwi uchaguzi hata akataliwe vipi mnaweza mkashinda kura yeye akashinda uchaguzi kwa means yoyote ile.

Makanisa mengi yameunganishwa freemason hivyo hatari kuongezeka.Inahitaji kuomba na kumwabudu Mungu ktk roho na kweli pia huwezi kuwakwepa freemason ukiwa na tamaa ya pesa vyeo wanaweza Mali umaarufu kwani njia na mbinu zao ni kupitia huko.
mkuu,swala la kusema kuwa Tz sijui bado haijaunganishwa na hao jamaa mimi pia nakataaa ,kwa sababu wale jamaa walisambaaa mapema sana tukiwa bado tuko primitive na wakaweka alama na mambo yote katika kila angle ya dunia

Kwa hiyo we are real controlled by this motherfucking bitches :cool:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuhisi hisi tu na kuunga unga fact, lakini hakuna anaeujua ukweli hapa.Vinginevyo uwe umekuwa mwanachama wa kutukuka na ukaamua kufunguka ukweli.Na source nyingi zinazotumika kama reference ni anti freemason, tusome na ambazo ni za u positive wao
 
Jamani hebu acheni kupotosha jamii,ni vena kama kitu hukijui ukakaa kimya.

Freemasonry ni social service organisation kama ilivyo rotary,lions zenye malengo tofauti,mfano lions service platform yake ni paediatric cancer,diabetics,vision,hunger relief na environmental, rotary imejikita zaidi kwenye sports,na environmental
MTU anapoinuka na kusema freemasonry ni dini eti kaambiwa na she he yahaya na wanachama hawajui ni uwongo usio na kichwa wala miguu.

Niwape uelewa kwenye akili zinazofanya kazi watanielewa 1.inaitwa freemasonry taufa herufi hizo kwenye mtandao
2.moja ya sifa za kujiunga "you must be a man with a good reputation 3.you must be able to support yourself
3.you must have your own religion

Yaani uweze kuea na kipata chako,use ni muumini Wa dini yako nabuwe na tabia au matendo mema kwenye jamii isitoshe freemasonry hujipeleki unaitwa yaani unakuwa sported kisha unakuwa invited na kuwa oriented,na kama ilivyo sheria za vikundi kuacha vikoba mlivyozoea pana mafunzo na kozi za uongozi.

Sasa wewe unaesema freemasonry ni dini au wanatoa kafara we ni shetani namba moja na mungu akurehemu
Tatizo watu wanapenda kusikia story za vijiweni na kwenye kahawa wanaruhusu akili zao kutofanya kazi kisa wamehadithiwa haapendi kusoma kabisa machapisho,vitabu wanaishia ushabiki Wa kijinga.

Freemasonry imekuwa na michango kadhaa kama ujenzi Wa mahispitali ,makanisa na miundombinu mfano kabisa LA roman mt.Thoma's kigogo/mburahat ni msaada Wa Freemasonry, na mengineyo mengi.

Ni uzushi na uongozi kuna swali huwa watu wanauliza eti ukiwa freemasonry unapewa pesa?

Jibu: Ni uzushi chanzo cha pesa za freemasonry ni ada na machangizo mbalimbali, pana fees za kawaida,pana district fees na international fees, licha ya hayo pia pana muchango mbali mbali.

Kuna wajinga wanadiriki kusema kabisa LA freemasonry lipo Posta

Jibu: Tutumie akili pameeandikwa freemasonry hall sio church ,tusiwe wavivubkufikiria ile ni ukumbi Wa mikutano na vikao vidogo na vya kawaida.mwenye maswali atanifata ila huwezi kuwa na kashfa za ngino au sifa mbaya halafu ukawa Freemasonry watu wanazusha marehemu Fulani ,sijui mwanamziki Fulani huo ni uongo
 
nakuunga mkono mkuu..

things operate in secret ways...
yani freemason members wengi hawajui system ilivyo.

Ukiangalia kwa umakini sana utagundua kuwa kuna system ya watu wasioonekana ndo wanawaendesha wanaoonekana..

Kama Reptilian brotherhood ndo wanahusika sana na hizi Royal families basi kuna siri nzito sana juu ya taasisi hizi.

Lakini kwanini sasa Reality haiweki wazi??

Naanza kuamini maneno ya Morpheus kwenyr movie ya The matrix alipokuwa anajibu swali la bwana mdogo NERO aliliuliza kuwa ,what is the matrix??
Jamaa akamjibu ,no one will tell you how the matrix reality is,but you are thr one to feel and understand it..

We are in the matrix system..you have to discover at your own..no one will tell you how the truth and reality is..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli huwezi kuwa member eti usijue halafu we usie member ndo ujue acha kupotosha tueleweshane kisomi na evidence sio ushabiki Wa kijiweni au kuhadithiwa na kiongozi wako Wa dini asiejua eti uapishwe upewe na katiba na induction usijue?na kama wewe sio member unajuaje taarifa hizo kama sio umbea?ni kama kutaka kujua jirani anaishije na hali si familia yako. Msipende kujifanya kujua msiojua Bali takeni kujuzwa ukweli na uhalisia. Cheki websitebya freemasonry, herufi nilizoandika,nenda kwenye hall omba kuonana na afisa yeyote au wasiliana na district grand master akusaidie usiandike usiyoyajua
 
I believe the Freemasons should be arrested and Freemasonry should be destroyed. Freemasonry is evil and dangerous. It is horrible that its tentacles even are in Tanzania.

"Freemasonry is a secret political society whose goal is to put an end to all religions and good morals, and to replace them with man-made laws and non-religious systems. It strives to provoke ongoing revolutions and to replace one regime with another, on the basis of its call for freedom of thought and freedom of belief. This is what they have stated clearly."

Freemasonry and ruling on joining the Masons - islamqa.info

Freemasonry rules in the United States and in Mexico. If you study the history of Mexico, even Mexico is ruled by Freemasons. If Freemasonry is not political and does not have political aims- why do the US and Mexico need to be ruled by it? Why is it even in places like Tanzania? Why should it be seemingly everywhere? The revolution in the United States was controlled by Freemasons and the same with the French Revolution. It is false when people claim Freemasonry has no agenda. Part of Freemasonry's agenda is to get rid of religion and this can be seen clearly by history. Plutarco Calles the Mexican Freemason president tried to get rid of Catholicism in Mexico. The French Revolution which was led by Freemasons murdered priests to try to get rid of Christianity in France. If you study history, it shows that Freemasonry wishes to get rid of religion.
 
Jamani hebu acheni kupotosha jamii,ni vena kama kitu hukijui ukakaa kimya.

Freemasonry ni social service organisation kama ilivyo rotary,lions zenye malengo tofauti,mfano lions service platform yake ni paediatric cancer,diabetics,vision,hunger relief na environmental, rotary imejikita zaidi kwenye sports,na environmental
MTU anapoinuka na kusema freemasonry ni dini eti kaambiwa na she he yahaya na wanachama hawajui ni uwongo usio na kichwa wala miguu.

Niwape uelewa kwenye akili zinazofanya kazi watanielewa 1.inaitwa freemasonry taufa herufi hizo kwenye mtandao
2.moja ya sifa za kujiunga "you must be a man with a good reputation 3.you must be able to support yourself
3.you must have your own religion

Yaani uweze kuea na kipata chako,use ni muumini Wa dini yako nabuwe na tabia au matendo mema kwenye jamii isitoshe freemasonry hujipeleki unaitwa yaani unakuwa sported kisha unakuwa invited na kuwa oriented,na kama ilivyo sheria za vikundi kuacha vikoba mlivyozoea pana mafunzo na kozi za uongozi.

Sasa wewe unaesema freemasonry ni dini au wanatoa kafara we ni shetani namba moja na mungu akurehemu
Tatizo watu wanapenda kusikia story za vijiweni na kwenye kahawa wanaruhusu akili zao kutofanya kazi kisa wamehadithiwa haapendi kusoma kabisa machapisho,vitabu wanaishia ushabiki Wa kijinga.

Freemasonry imekuwa na michango kadhaa kama ujenzi Wa mahispitali ,makanisa na miundombinu mfano kabisa LA roman mt.Thoma's kigogo/mburahat ni msaada Wa Freemasonry, na mengineyo mengi.

Ni uzushi na uongozi kuna swali huwa watu wanauliza eti ukiwa freemasonry unapewa pesa?

Jibu: Ni uzushi chanzo cha pesa za freemasonry ni ada na machangizo mbalimbali, pana fees za kawaida,pana district fees na international fees, licha ya hayo pia pana muchango mbali mbali.

Kuna wajinga wanadiriki kusema kabisa LA freemasonry lipo Posta

Jibu: Tutumie akili pameeandikwa freemasonry hall sio church ,tusiwe wavivubkufikiria ile ni ukumbi Wa mikutano na vikao vidogo na vya kawaida.mwenye maswali atanifata ila huwezi kuwa na kashfa za ngino au sifa mbaya halafu ukawa Freemasonry watu wanazusha marehemu Fulani ,sijui mwanamziki Fulani huo ni uongo
Jamaa mbona umemkazia sana mtoa post ? Unataka kusema wewe ndo upo sahii zaidi kushinda hao jamaa unaowakosoa ? Nauliza tu...
 
I don't know anything about them....pia haina effects zozote za kuwajua au kutowajua hao Freemasonry

Sasa kama ni ivo wann sasa. ..hawawez nipa any assistance so

.kwangu they r meaningless af xtak comment
 
Shy kama waweza nipatie hicho kitabu GREATEST WORLD SECRETS. Nionavyo mimi Freemasons ni hatari. Imani zao na matendo yao ndo ya kuogopa. Matambiko ni mengi ya kumwaga damu tena ya binadamu. Si imani natural hiyo? Ni ya kishetani na kuchawi niseme.
Wapi Huwa wanamwaga damu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom