Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Hakuna Freemasons...ni Idea tu ya kipumbavu iliyotungwa kudanganya wajinga.
 
Juzi nilitumiwa sms nilichukia mno, wanatoa na no za sm zao, sijui walipata wapi no zangu? Sijawajibu ila nimeumia Shetani kunifuatilia
hao sio Freemason...ni matapeli hao walikuwa wanakulia timing wakuingize mjini
 
Freemasonry is a fraternal organisation. Arising from obscure origins (theorised to be anywhere from the time of the building of King Solomon's Temple to the mid-1600s), it now exists in various forms all over the world, and claims millions of members. All of these various forms share moral and metaphysical ideals, which include in most cases a constitutional declaration of belief in a Supreme Being.

The fraternity is administratively organised into Grand Lodges (or sometimes Orients) that each govern their own jurisdiction, which consists of subordinate (or constituent) Lodges. Grand Lodges recognise each other through a process of landmarks and regularity. There are also appendant bodies, which are organisations related to the main branch of Freemasonry, but with their own independent administration.

=====
Principles of Freemasonry

Principles of Freemasonry can be discussed quite freely and openly – there is no secret about them. The so–called Masonic secrets relate only to the means of recognition between Freemasons.

Freemasonry amplifies the duty owed to God, to a neighbour and to the member himself. It requires the practice in every-day life of every virtue, it neither competes with nor is a substitute for religion. Freemasonry has no part whatsoever in politics – indeed topics of political or religious discussion are specifically forbidden at meetings of Freemasons!

Complete loyalty is required of a Freemason to his country of birth and/or adoption. A Freemason is required to submit willingly to all lawfully constituted authority. Freemasonry forbids and discountenances disloyalty.

Freemasonry requires that every candidate for admission shall come of his own free will, prompted by a desire to be numbered amongst the members of an institution whose principles he is willing to embrace. He must profess a belief in a Supreme Being and there is no compromise to this.

Great Importance is attached to personal and social contacts in Freemasonry not only in the Lodge itself but also at the banquet and on those special occasions when our Ladies can join us.

Great benefit and satisfaction is derived from the association of men impelled by common ideals and goals. It not only enriches our lives as individuals but also makes our Institution a beneficial element of the community to which we belong.

There are bodies styling themselves Freemasons which are quasi-Masonic or imitative of Freemasonry and to visit or be associated with any such body is a serious Masonic offence.

When travelling abroad if invited to visit a Lodge you should first make sure that the Lodge is one working under the jurisdiction of, or recognized by the Grand Lodge of England. This should be done by communication with Grand Secretary or District Grand Secretary for guidance. Grand Lodges of other Constitutions in amity with the Grand Lodge of England are listed in the Masonic Year Book.

Members of the English Constitution should bear in mind that some of these Grand Lodges may recognise other Grand Lodges not in amity with the United Grand Lodge of England. When visiting a Lodge under another constitution it is possible that there could be present, quite legitimately, so far as it is concerned, members of a Constitution not recognised by the English Constitution.

Such a situation calls for tact and diplomacy in withdrawing without giving offence, bearing in mind that it is part of the duty of members of the English Constitution not to associate Masonically with members of un-recognised Constitutions and that this duty transcends the more apparent calls of courtesy and politeness.

======


Freemasonry uses the metaphors of operative stonemasons' tools and implements, against the allegorical backdrop of the building of King Solomon's Temple, to convey what is most generally defined as "a system of morality veiled in allegory and illustrated by symbols."

Let's start with their normal signs... Read em carefully halafu fikiria, tukibahatika tuzichambue moja baada ya nyingine na kuangalia Tanzania iko status gani!


Secret Masonic Handshakes, Passwords, Grips and Signs Of Blue Lodge Masonry

ENTERED APPRENTICE DEGREE

(First Degree in the Blue Lodge)

DUEGARD OF AN ENTERED APPRENTICE

eadueg.gif

The Duegard of an Entered Apprentice represents the position of the hand when taking the oath of an Entered Apprentice, "my left hand supporting the Bible and my right hand resting thereon."

SIGN OF AN ENTERED APPRENTICE

easign.gif


The sign of the Entered Apprentice alludes to the penalty of the Entered Apprentice's obligation. The sign is made by drawing the right hand rapidly across the neck as shown on the left. The penalty that the sign alludes to is, "having my throat cut across, my tongue torn out by its roots, and my body buried in the rough sands of the sea at low water mark, where the tide ebbs and flows twice in twenty-four hours, should I ever knowingly violate this my Entered Apprentice obligation."

Explanation of the Entered Apprentice sign: Draw the right hand rapidly across the neck as represented and drop the arm to the side. This action shows the penalty of having the throat cut and the tongue ripped out.

"BOAZ"
GRIP OF AN ENTERED APPRENTICE
(HANDSHAKE)



eapass.gif

The Grip of the Entered Apprentice is made by pressing the thumb against the top of the first knuckle-joint of the fellow Mason, the fellow Mason also presses his thumb against the first Mason's knuckle.

The name of this grip is "Boaz". When a candidate is imparted with this grip and its usage it is done in this manner."

First the Worshipful Master says to the candidate:
"I now present my right hand in token of friendship and brotherly love, and will invest you with the grip and word. As you are uninstructed, he who has hitherto answered for you, will do so at this time."

The Worshipful Master of the lodge then has this exchange with the Senior Deacon, who is standing next to the candidate, who is still kneeling at the altar, after have assumed the obligation of this degree:

Note: In the following discourse WM stands for Worshipful Master, and SD stands for Senior Deacon.
WM: Brother Senior Deacon. SD: Worshipful Master. WM: I hele. SD: I conceal. WM: What do you conceal? SD: All the secrets of a Mason in Masonry, to which this token alludes. (At this time, the candidate is shown the grip of an Entered Apprentice) WM: What is that? SD: A grip WM. Of what? SD: Of an Entered Apprentice. WM. Has it a name? SD: It has. WM: Will you give it to me? SD: I did not so receive it, neither will I so impart it. WM: How will you dispose of it? SD: Letter it or halve it. WM: Letter it and begin. SD: You begin. WM: Begin you. SD: A WM: B SD: O WM: Z WM: (Directing his words to the candidate): "Boaz, my Brother, is the name of this grip, and should always be given in the customary manner, by lettering or halving. When lettering, always commence with the letter, "A".

MASTER MASON DEGREE (Third Degree in the Blue Lodge) DUEGARD OF A MASTER MASON


mmdueg.gif

The Duegard of the Master Mason alludes to the position of the hands when taking the oath of the Master Mason, "both hands resting on the Holy Bible, square, and compasses."

"TUBALCAIN"
PASS GRIP OF A MASTER MASON (HANDSHAKE)
mmpass.gif
"MA-HA-BONE" REAL GRIP OF A MASTER MASON (HANDSHAKE)
lionspaw.gif

The Mason firmly grasps the right hand of a fellow Mason. The thumbs of both hands are interlaced. The first Mason presses the tops of his fingers against the wrist of the fellow Mason where it unites with the hand. The fellow Mason at the same time presses his fingers against the corresponding part of the the first Mason's hand and the fingers of each are somewhat apart. This grip is also called the Strong Grip of the Master Mason or the Lion's Paw. Instruction for this grip is given at the "graveside", after the candidate has been "raised".

THE FIVE POINTS OF FELLOWSHIP
5point.gif
Melo, do you still believe Freemasonry is satanic? I'd like for the answer to be no, so that I can ask you to write a different review. This one was your view of Freemason back then, how would you describe the organization today?
 
KUna mason wa Tanzania wakiongozwa na Sir Andy Chande na mmojawapio wa memba maarufu ni.. u guessed it Benjamin William Mkapa.

Kuhusu alama ya vidole. Naona watu mnachanganya alama mbili zisizohusiana ingawa zinaoneshwa vile vile.

Kwa wanamuziki wa Rock na macelebrity mara nyingi alama hiyo inawakilisha mambo yale ya kishetani kutokana na miziki ya bendi za rock ambazo zilikuwa zinadaiwa zina maneno ya kishetani, na hivyo wale wanamuziki walipoanza kutukuza sifa hiyo ya ushetani wakawa wanatumia alama ya pembe za kishetani.

Kwa wale walioko Texas alama hiyo ya vidole uhusiana na timu ya mpira ya Chuo Kikuu cha Texas ambayo hujulikana kama "Texas Longhorns". Ukienda hata kesho kwenye mechi zao utawasikia wakiimba "Hook em horns" Long horns na wakinyanyua alama za pembe za ng'ombe.

Bush anatoka Texas. Picha ambayo inaonesha hapa ya Bush ni wakati bendi ya Chuo Kikuu cha Texas ilipokuwa ikipita mbele ya Rais Bush baada ya kuapishwa kule Washington DC. Na kwa watu wa Texas where Texas is Bigger than America.. usishangae kuwakuta wakisalimiana kwa alama hiyo ya "hook em horns".. !

hornswh.jpg


Natumaini hii itasaidia angalau kwenye angle hiyo.
hujafikiria kusudio la kuanzisha hiyo timu ili ipate wafuasi zaidi ya kunyoosha hivyo vidole!sasa wafwatilie waanzilishi wa hizi timu taarifa zao utakuta ndo wale wale!
U CANT RUN! U CANT ESCAPE!.
 
Mweshmiwa;

Soma vizuri hapo juu. Hakuna mwanachama anayetakiwa kutokumuabudu MUNGU au kubadili dini yake.

Sielewi wapi ulipoona kuwa hawa jamaa ni waabudu Mashetani, Nionyeshe ni WAPI hawa jamaa WANAMUABUDU SHETANI.

Kama huna data usiwe kama wanachama wa DECI au mfuasi wa Kibwetere!
kwetu cc waislaam mtume alituusia zama za mwisho kutakua na kundi la watu waabudu mashetani wataleta fitna kubwa katika ulimwengu!na hao ndo watakua wafuasi wa masih dajjar!kwa wakristu humuita mpinga kristo!na utambuzi wao utakua mfano wa tunda wa zabibu ukiwa kwenye mti!sasa kazi yako ww tafuta mzabibu ulipo kwenye mti wake jinsi ulivyo!ndo utajua ukweli kua hawa ni wakala wa iblis
 
Yule nyoka ktk Hospitali ya Muhimbili atumiwi kama kiwakilishi cha Musa alivyomuinua nyoka wa shaba ktk Biblia ili wana wa Israel wapone kupitia nyoka huyo, Bali Muhimbili wanamtumia kama "Guinea Worm"
 
Kweli Mkuu,nasoma Biblia kila siku,kuna mambo mengi ambayo yamefichwa...kama unasoma biblia na kuifahamu,ukasoma historia ya biblia utakuta kuwa huyu jamaa St. Paul aka "Saul wa Tarsus" kama wayahudi walivykuwa wakimwita alikuwa mrumi aliezaliwa Uturuki ndie alieanza kupotosha mafunzo ya Yesu aka Issa aka Jesus aka Esso aka Christ na kuweka Upagani

Paul alikuwa adui mkubwa wa mafundisho ya Yesu,Paul mwenyewe hajawahi kumuona Yesu wala hakuwa mwanafunzi wake,Paul alikuwa pagan(watu wanaoabudu masanamu)

Paul pamoja warumi akina Cesar na jeshi lake walikuwa wanawasaka na kuwauwa wafuasi wa Yesu kama kuku,wengi wa wafuasi wa Yesu waliikimbia Jerusalem na kukimbilia Syria,Abysinia(Ethiopia) na sehemu nyengine..

Paul baada ya kuona kuwa hawezi kufanikiwa na zoezi lake la kupinga mafunzo ya Yesu kwa nguvu ndio akaja na wazo la kuwa ameeota na amemuona Yesu,...

Yesu kamwambia sio lazima watu wafuate sheria za Taurat,wakati Yesu mwenyewe alisisitiza kuwa yeye hakuja kuondoa sheria isipokuwa amekuja kuzisimasha,na yoyote asiefata sheria basi hawezi kuona pepo ya Bwana(Mungu)

Mathayo 5:17 "Msidhani ya kuwa nimekuja kutengua Sheria(taurat) za Moses(Musa) na mafundisho ya manabii. Sikuja kutengua bali kukamilisha."

Asilimia 70 ya biblia ni mafunzo ya Paulo,mafunzo ambayo yanapingana na mafunzo ya Yesu,Yesu katahiriwa baada ya siku nane (8)kuzaliwa....

Luka 2:21 "Mtoto alipofika siku nane,walimtahari na kumpa jina la Yesu,jina alilopewa na malaika kabla ya kuzaliwa"

Wakristo wa siku hizi hawatahiriwi,Wayahudi hawali nguruwe,Yesu alikuwa Myahudi alikuwa hali nguruwe,wakristo wa siku hizi kiti moto wanakifurahia..

Ukisoma agano la kale Leviticus 11:3-7,Maandiko ya Tautat aliyokuja kuyasimamia Yesu inafundisha nini mwanadamu anaefata dini ya mungu anatakiwa ale na nini asile

Leviticus 11:7-8 andiko linakataza kula nguruwe:"7) Na nguruwe, kwa sababu ana kwata, lakini hachakui, ni najisi kwenu. 8) Msile nyama yao, wala msiigusa mizoga yao,ni najisi kwenu.


Agano jipya halikukataza ulaji wa nguruwe,kwasababu agano jipya asilimia 70 ni mafunzo ya Paulo,Agano la kale(taurat) ambayo Yesu alikuja kuindeleza kama alivyosema mwenyewe limekataza ulali wa Nguruwe,..

kusema ukweli Agano la kale limeweka usahihi na sababu kwanini mtu hatakiwi kula nguruwe kuliko hata Kuran,Kuran imesima tu ni haramu kula nguruwe bila ya kuweka sababu

Manabii na mitume iliyopita kabla ya Yesu waliowa wanawake wengi ili kuwalinda,wakristo wa siku hizi ukisema unaowa wanawake zaidi ya mmoja watakualani kwa nguvu zote..

Kwa ufupi tangu haya mafundisho aliyofundisha Yesu kuingiliwa na wazungu akina Paulo na wenzake wameongeza mambo mengi ya Upagani katika mafunzo ya Yesu

Halafu kitu cha kushangaza tafsiri ya biblia kwa lugha Kingereza na Lugha ya Kiswahili sehemu nyengine zinakosoana hazifanani.....,Mungu tufungue macho wafrika,wazungu wanatupotosha sana
Naona umechagua kutokumuani Paul kama vile wengine walivochagua kutokumuamini Yesu....kichwa ni chako na akili ni ya kwako unaweza kuamua kuchagua chochote kwa kujenga hoja yoyote.
 
Naona umechagua kutokumuani Paul kama vile wengine walivochagua kutokumuamini Yesu....kichwa ni chako na akili ni ya kwako unaweza kuamua kuchagua chochote kwa kujenga hoja yoyote.
Paul mzushi,baada kuona hawezi kuyashinda maafundisho ya Yesu(Isa),akaamua kuja na mafundisho yake kwa mgongo wa Yesu,Paul kaingiza upagani kwenye dini ya kikiristo,..

Yesu alisema hakuja kubadilisha sheria(taurat) bali amekuja kuzitukuza,na yeyote asiefata sheria hawezi kuuona utawala wa Mungu(Pepo),kama wewe unamfata Paul(Soul) mfate tu, mkuu
 
Paul mzushi,baada kuona hawezi kuyashinda maafundisho ya Yesu(Isa),akaamua kuja na mafundisho yake kwa mgongo wa Yesu,Paul kaingiza upagani kwenye dini ya kikiristo,..

Yesu alisema hakuja kubadilisha sheria(taurat) bali amekuja kuzitukuza,na yeyote asiefata sheria hawezi kuuona utawala wa Mungu(Pepo),kama wewe unamfata Paul(Soul) mfate tu, mkuu
Yesu siyo Issa, ni wapuuzi tu wanaolinganisha
 
Paul mzushi,baada kuona hawezi kuyashinda maafundisho ya Yesu(Isa),akaamua kuja na mafundisho yake kwa mgongo wa Yesu,Paul kaingiza upagani kwenye dini ya kikiristo,..

Yesu alisema hakuja kubadilisha sheria(taurat) bali amekuja kuzitukuza,na yeyote asiefata sheria hawezi kuuona utawala wa Mungu(Pepo),kama wewe unamfata Paul(Soul) mfate tu, mkuu
Mkuu wewe ni noma...Biblia ina watu wengi type za akina Paul lkn wewe ukamua kumdissaprove Paul, what is your interest? Kingine Biblia inasema Yesu alikuja kuitimiliza taurat wewe unasema Kuitukuza asee!
 
Paul mzushi,baada kuona hawezi kuyashinda maafundisho ya Yesu(Isa),akaamua kuja na mafundisho yake kwa mgongo wa Yesu,Paul kaingiza upagani kwenye dini ya kikiristo,..

Yesu alisema hakuja kubadilisha sheria(taurat) bali amekuja kuzitukuza,na yeyote asiefata sheria hawezi kuuona utawala wa Mungu(Pepo),kama wewe unamfata Paul(Soul) mfate tu, mkuu
Naomba uthibitishe hilo dai lako la kumuhusu Paul
 
Naomba uthibitishe hilo dai lako la kumuhusu Paul
Mkuu, kwani Paul katokea wapi,je alikuwa mmoja katika wanafunzi wa Yesu,je Paul ameshawahi kuonana na Yesu,Kwanini alikuja kupindisha pindisha mafundisho ya Yesu...

Maneno ya Yesu kuhusu sheria za Musa
Matayo 5:17 “Msidhani kwamba nimekuja kufuta sheria ya Musa na mafundisho ya manabii. kwamba mpaka mbingu na dunia zitaka potoweka, hakuna hata herufi moja ya sheria itakayopotea mpaka shabaha yake ikamilike."

Matthew 5:17 “Think not that I am come to destroy the Law or the Prophets. I am not come to destroy, but to fulfill"...

Hapa mkuu itabidi unisaidie,kwanini tafsiri ya kiswahili na hii ya biblia ya king james zimetafautiana...

Anyway, hayo ndio maneno ya Yesu kuhusu sheria za Musa(Taurat),Sheria za taurat zinasema wanaume watahiriwe ,binaadamu wasile Nguruwe,tumche Mungu mmoja tu,tuwapende majirani..nk

Biblia kuhusu sheria za Musa(Amri kumi Musa alizopewa na Mungu):Kutoka 31:18
Ya kwanza: "Thou shalt have no other gods before me": "Hakuna Mungu wa kuabudiwa isipokuwa mimi(Mungu),kwa kiarabu "Laila haila allah"..
https://en.wikipedia.org/wiki/Thou_shalt_not_make_unto_thee_any_graven_image
Ya pili:(2):"Thou shalt not make unto thee any graven image":Msiabudu masanamu"..

Hizo sheria ziko kumi lakini kwa leo nitakuwekea mbili za mwanzo...Mkuu kwasababu Paul kapinga hizi sheria,kapinga mafundisho ya Yesu ndio sababu yangu kubwa ya kumkana huyu Paul aka Soul
 
Naona umechagua kutokumuani Paul kama vile wengine walivochagua kutokumuamini Yesu....kichwa ni chako na akili ni ya kwako unaweza kuamua kuchagua chochote kwa kujenga hoja yoyote.

Wakati mwingine tunapoongea maneno ya kukatisha tamaa Vila kuwa na hoja ya kujifunza tunakosea haya mambo ya imani ni magumu sana inatakiwa tushirikiane katka kueleweshana wakuu hamna aijuaye dini yake au ukweli wa dini yake kwa asilimia mia ila kupitia kujifunza ndio tunapata ukweli na ktk kujifunza ni kupitia watu, kusoma majarida na vitabu vyenye historia mbali mbali na ya wezekana mmoja wetu au wote hatuko sahihi au kitu alichokitoa ndio ukwel tusikatishane tamaa
IMG-20180504-WA0000.jpg
 
Found these some of the historic symbols of Freemasons. Among the most powerful Freemasons; the first President of the United States of America had a strong relationship with the Masons. Whereas Benjaim Franklin became a member when he started his own community.
 

Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    8.9 KB · Views: 152
Ni ngumu kukataa kuwa tz haijaunganishwa na freemason kiutawala kwa sababu zifuatazo.
1.Alama ya mwenge ambao ni moto huzungushwa nchi nzima na moto ni tambiko pia.
2.Uwepo wa nyoka ktk baadhi ya fedha za nchi hii ambazo hutumiwa na watu wote. Kwa asili kila mtz ni freemason bila kujielewa.
3.Ukifuatilia sana utagundua kuwa kila kabla ya uchaguzi wa raisi lazima mauaji maafa makubwa yatokee kisha uchaguzi rejea kuzama mv bukoba.meli kule nungwi na nyinginezo.Hizi ni kafara.
3.Tawala za sababu,hali hii inatokana na ukweli kuwa wanajiamini kwani muumini yeyote wa freemason hafungwi jela,hashindwi uchaguzi hata akataliwe vipi mnaweza mkashinda kura yeye akashinda uchaguzi kwa means yoyote ile.

Makanisa mengi yameunganishwa freemason hivyo hatari kuongezeka.Inahitaji kuomba na kumwabudu Mungu ktk roho na kweli pia huwezi kuwakwepa freemason ukiwa na tamaa ya pesa vyeo wanaweza Mali umaarufu kwani njia na mbinu zao ni kupitia huko.
 
Last edited:
Ni ngumu kukataa kuwa tz haijaunganishwa na freemason kiutawala kwa sababu zifuatazo.
1.Alama ya mwenge ambao ni moto huzungushwa nchi nzima na moto ni tambiko pia.
2.Uwepo wa nyoka ktk baadhi ya fedha za nchi hii ambazo hutumiwa na watu wote. Kwa asili kila mtz ni freemason bila kujielewa.
3.Ukifuatilia sana utagundua kuwa kila kabla ya uchaguzi wa raisi lazima mauaji maafa makubwa yatokee kisha uchaguzi rejea kuzama mv bukoba.meli kule nungwi na nyinginezo.Hizi ni kafara.
3.Tawala za sababu,hali hii inatokana na ukweli kuwa wanajiamini kwani muumini yeyote wa freemason hafungwi jela,hashindwi uchaguzi hata akataliwe vipi mnaweza mkashinda kura yeye akashinda uchaguzi kwa means yoyote ile.

Makanisa mengi yameunganishwa freemason hivyo hatari kuongezeka.Inahitaji kuomba na kumwabudu Mungu ktk roho na kweli pia huwezi kuwakwepa freemason ukiwa na tamaa ya pesa vyeo wanaweza Mali umaarufu kwani njia na mbinu zao ni kupitia huko.
Nakataaa Nyerere na Magufuli hawamo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom