Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Watu kuwa na uhuru wa kusema ni afya kwa taifa. Waache watu waseme. Wakosoe kwa nia ya kujenga nchi. Watu wote wawe wa CHADEMA, wawe wa CCM hata wasio na vyama ni haki yao kusema.
Ukiwazuia watu kusema ni hatari sana. Katika maeneo mengine duniani ambako ugaidi umekuwa tishio, ni kwa sababu watu walizuiliwa na kunyimwa haki ya kusema na ukajengwa utawala wa mtu mmoja kusikika peke yake.
Tusifike huko. Tuwapatie watu uhuru wa kusema, kukosoa na kutoa mawazo mbadala. Hii ndiyo haki tunaipigania mahakamani.