Freeman Mbowe: Walipandikiza kwa NCCR Wakafanikiwa, TLP wakafanikiwa; wakapandikiza CUF kwa CHADEMA Wamekwama sasa wana hasira

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Walipandikiza kwa NCCR wakafanikiwa kuisambaratisha, wakaja TLP wakafanikiwa kuusambaratisha, wamepandikiza CUF, kwa CHADEMA wamekwama, sasa wana hasira

mbowe.jpg
 
Wana hasira! ni kweli lakini bahati mbaya ni kuwa Mara nyingi viongozi Wa vyama vya upinzani badala ya kuelezea kuwa shida iko kwa hao viongozi na wanachama Wa ccm, nyie mnachanganya na watumishi Wa umma.
Ukweli ni kuwa sisi watumishi Wa umma asilimia kubwa hatuna mapenzi na ccm bali tunaishi kwa unafiki tuu Wa kupiga makofi
 
Sasa wakapandikize kwa mitetea na ndama wao! Huku imeshindikana!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom