Freeman Mbowe utadhani Bruce Lee na chain stick

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,617
28,720
Mzuka wanajamvi!

Waziri wetu mkuu Freeman A. Mbowe kwenye picha hapo chini ni kama kashika cheni kama ile ya Bruce Lee.

Ndo maana huyu mwamba anaogopwa kwa kila kiti ije Karate yupo fiti, ije mbinu za medani usiseme, uje kwenye maendeleo na biashara wee acha tu, uje kwenye hoja na mikakati hawamuwezi ndo maana wanatumia nguvu na rasilimali za walipa kodi kumzibit lakini wapi.

Iyo cheni mwamba alivyoishika yani sisi tuliobobea mambo ya saikolojia na body language tunakiri huyu mwamba is fit for the top office. Iyo exposure tu na jinsi alivyomiliki center of gravity Mungu atupe nini tena zaidi.
2918820_Leo_Jumatatu_Tarehe_06_09_2021_Kesi_Ya_Uhujumu_Uchumi_Na_Ugaidi2C_Inayomhusu_Mwenyekit...jpg
00xp-nunchuck-lee-jumbo.jpg
 
Back
Top Bottom