Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

Yote heri tu ila wawe wamedhamiria kweli na si mihemko ya muda tu.

Kama wanasusia basi hata hiyo 2025 wajue hawatashiriki uchaguzi kwa maana nina uhakika mazingira yatakuwa ni hayahaya tu.

Kwa lugha nyepesi ni heri wakaachana tu na siasa kwa kumwandikia Msajili akawafutia registration.
Solution iko njiani one day yes
 
Nadhani Wana kiubinafsi kutaka kunyanyasa wanawake tu Hawa, pia awamu hii wanawake wa CDM wamejitoa kwa chama na hawajasaliti wananchi ka wanaume, na hata CDM ilipokosa wagombea wanaume kwa uoga wanawake waligombea kwa kujitoa bila kujali siasa za awamu hii za mkono Dola sasa kuzuia viti maalumu inaonyesha ni chama kisichojali wanawake
Leo muna point ya wanawake wakati muna iba kura kimya mataga wewe
 
Si mlitaka wabunge wote wawe wa kwenu...mnahangaika..? mnateseka?

Pambaneni na hali yenu... wapinzami wa kweli wanauguza majeruhi !! Mpeni UDP na TLP washirika wenu...
 
Hivi nyinyi CCM ni wazima kweli au wehu ?, si mlijiapiza kuua upinzani mpaka mkaua na watu ili wapinzani wasishinde , Sasa si mbaki peke yenu huko bungeni mnahangaika nini na Chadema chama mfu , kumbe wehu sio lazima uvue nguo , kuna wehu wengine na suti zao kabisa .
 
Acha ujinga, kama unaona ni sahihi wao kupeleka wabunge kwenye bunge lililopatikana kwa mchakato batili, mteue Mkeo, hawala yako ikiwezekana hata basha wako aende huko bungeni kwenye viti maalumu.

CHADEMA hakiwezi kushiriki kuhalalisha zinaa ya kisiasa.
Ngoja ateuliwe Joyce Mukya ndo ujue mnavyotumia uzinzi kuteua wabunge viti maalum huko chadema. Jitu Lina mke halali Tena Dr Lilian halafu linagombania hawara Joyce na aliyekuwa mbunge mwenzake Aesh
 
Kuna kifuta machozi cha bil 30 na zaidi mkulu anajaribu kukifikisha kwa chadema ili waachane na yaliyotokea aliyepwa afikishe ujumbe naona imekuwa ngumu kukutana nao.

hii ni propaganda kama ile ya Polepole kusema kura za wizi zimechapishwa na chadema

tuongee mambo ya maaana please ... hivi Unaijua bilioni 30 ? ikikufikia hata majirani watajua
 
hahhhah wewe so ulikuwa una sherekea ushindi wa 100%
Kujenga demokrasia ya nchi yetu changa ni swala mtambuka,sikwambii demokrasia ilivyo changa ndani ya vyama vyote CCM,Chadema,ACT,CUF n,k.
uwezi kujenga demokrasia ya taifa letu bila kuwepo na vyama pinzani kwa namna yeyote ile.
demokrasia ni eneo muhimu sana la kukuza na kujenga uchumi wa nchi yetu.
misimamo yeyote hasi yenye kukwamisha jambo ili ni yakukemewa vikali hasa kipindi iki cha sintofahamu ya uchaguzi uliomalizika juzi.
 
Wakati mnapanga kuwafanyia unyama watanzania wenzenu haukuwa na sababu ya kujua leo hiyo sababu ya kutaka kujua imetoka wapi ?
Acha stress kijana. Jibu hoja kama huna jibu ukae kimya. Nahitaji taarifa ambazo sizifahamu vizuri wewe unaniletea utopolo wako. Chadema mnaonekana hamna akili kwasababu ya watu maboya kama wewe.
 
Wangekuwa na ubinafsi Wangepewa majimbo 68 yakugombea ubunge??? Seriously Uporwe ubunge kwa mtutu wa Bunduki ulioshinda kihalali ,Uje kupewa viti Maalumu kihuni.........Uwe unajaribu kufikiria kabla ya ku comment.
Viti maalumu ni takwa la kikatiba la nchi na hata Sheria za kimataifa kuhusu wanawake na uongozi duniani, pia uhuni wa uchaguzi nchi hii umeanza tangu uchaguzi wa awamu ya kwanza ya democracy hapa nchini, so kuwanyima sio haki ni uonevu ka kipindi wanashinda kwa NEC hii why wagome, though magufuli aluzidisha uonevu kwa wapinzani na wateule walifanya kumfuraisha sasa Mambo ni aibu kuliko maelezo maana Tanzania tumeonekana hamnazo na mahusiano yetu yatakuwa mabovu na donor countries wakina kikwete atleast waliaachia baadhi ya wapinzani ili kutoa balance sasa mzee wateule wake wapenda sifa waliharibu uchaguzi ukawa madudu, though hyo kuninyima viti maalumu siafiki kabisa.
 
Ya chadema hayakuhsu ukiwa unapinga mabaya ungeeanza na aliyesema ukichagua upinzani haleti maendeleo ningekuona wa maana na sio hivi mataga
Yananihusu Kama mtanzania mtakia mema nchi yangu ili ku balance Mambo kwenye mizania, honestly sipendi uonevu na madudu ya kipumbavu kipindi Cha kura kilinisikitisha sana
 
Hakuna mwanamke aliyeshinda ubunge wa vitimaalum maana hakuna sehemu yeyote vitimaalum wanapigiwa kura.
Viti maalumu viko kikatiba chama kikipata asilimia flani ya uraisi wanapewa idadi ya viti maalumu, na uchaguzi wa viti maalumu hufanyika ndani ya vyama husika kwa kupiga kura
 
Tuanzie kwanza hapa, unajua kuwa kuna sheria kali sana inayolinda karatasi za kupigia kura kuwa ni siri sana?!! Awamu hii ya tano, imekuwaje mikaratasi inazagaa kiasi kile kabla ya uchaguzii tena kwenye mikoba ya mi kina mama (mishankupe) ya uswahilini?? Mwananyamala, Tandale, Temeke, Mbagala?? Miuza miguu ya kuku, utumbo, matembele, jibu kwanza hapo
 
Back
Top Bottom