Freeman Mbowe, Tindu Lisu, Ndesamburo, Godblees Lema kuitikisa Arusha

Godbless them and let them come with something we're waiting for so long.
 
.....sitashangaa ukisikia Polisi (ya CCM) imesema haina askari wa kutosha kulinda mkutano as if mkutano huo unahitaji baracks nzima ya polisi!!! nafikiri nitawahi nikitoka Tanga na bus la saa 2 asbh
Amani hailetwi na polisi ila hupotezwa na utumiaji wa mabavu wa polisi mfano tarehe 1-11-2010 wakati tukisubilia matokeo watu walikuwa wengi mno lakini hakuna mtu alie toka ngeu siku hiyo kwasababu polisi walifata haki lakini watakapo tumia nguvu ilikutupora haki zetu basi patakuwa hapatoshi...kama wanakuja kwenye mkutano wetu waje tena tuna wakaribisha maana wengi wao walituunga mkono kwenye uchanguzi ila olewao waje kwa nia ya kutuvuluga huyo Andengenye wao atajuta....
 
CCM hawajui kuwa mnyonge/mtu anayeonewa hupata sapoti toka kwa watu wengi.

Kwa hiyo kadiri CCM wanavyotumia jeshi la polisi kuwanyanyasa na kuwadhulumu CHADEMA ndivyo wanavyozidi kuwapa umaarufu CHADEMA na kuwaongezea wafuasi.

Hii ni faida kwa CHADEMA
 
TBC muturushie live huo mkutano wa chadema kwa tusioweza kufika arusha, ninyi ni televisheni ya taifa na hilo ni tukio la kitaifa. Sisi wananchi ndio tunawalipa mishahara na garama za uendeshaji.
 
Wao wanapesa sisi tuna Mungu Usiogope tutashinda.

Mstahiki Meya wa jiji Estomi Mallah atakuwepo mambo yatakuwa sawa sawia.
 
Nikipanda lile basi la yule jamaa nitauwahi kweli huo mkutano? kuna mtu ana ungo anisaodie?
 
If you a big big tree, we are a small axe, sharp and ready, ready to cut you down, sharpen to cut you down hear us Deep Green
 
pia natamani kama Kikosi kizima cha Chadema akiwemo Daktari wa ukweli, Kamanda Mnyika, Mabere Marando, Zitto Kabwe na Kamanda Wenje wote wangehudhuria na kuimba pamoja na wananchi wa Arusha ule wimbo wa Solidarity!!
 
pia natamani kama Kikosi kizima cha Chadema akiwemo Daktari wa ukweli, Kamanda Mnyika, Mabere Marando, Zitto Kabwe na Kamanda Wenje wote wangehudhuria na kuimba pamoja na wananchi wa Arusha ule wimbo wa Solidarity!!
Kuna tukio lingine lina kuja vita ndiyo kwanza inaanza subilia tareh 30-12-2010 siajabu ukawaona ndani ya Arusha...lakini zingatia kichwa kimoja cha CDM ni sawa na vichwa 30 vya CCM...
 
They have money, we have God.

Believe in Your Power.
Peopless.................POWER:whoo:
 
WAPENDA MABADILIKO YA MAISHA YA KILA MTANZANIA.. LEO KUNA MATEMBEZI YA HISANI KUCHANGIA MFUKO WA ARUSHA DEVELOPMENT FOUNDATION [ArDF]... MFUKO HUU NI WA KULETA MAENDELEO YA MAISHA YA WATU WA ARUSHA... KATIKA NYANJA YA ELIMU, MIUNDO MBINU NA AFYA.. TUNAAMINI KUWA SIYO KILA KITU LAZIMA SERIKALI ILETE HIVYO BASI TUMEANZISHA MFUKO HUU ILI UWEZE KULEZA MAENDELEO YA WANAARUSHA.. TUUNGENI MKONO KATIKA KUPELEKA WATOTO 1000 WANAOISHI MAISHA MAGUMU SHULE KWA MWAKA 2011..
 
Back
Top Bottom