Awavushe kwenda kunywa Faru John au?#MWAMBA TUVUSHE
Hiki ndio walichobaki nacho hawa chadema kusifiana ujinga wakati chama kiko hoi
Wewe beba mabox ya wazungu huko!!Hata yule dhalimu magufuli alidhani KAIUA Chadema lakini huwezi kuua kitu kilichomo mioyoni mwa Watanzania wanaojitambua kirahisi kiasi hicho.
Chadema ipo mahututi, kwasababu badala ya kwenda mbele imerudi nyuma hatua 1000Hata yule dhalimu magufuli alidhani KAIUA Chadema lakini huwezi kuua kitu kilichomo mioyoni mwa Watanzania wanaojitambua kirahisi kiasi hicho.
Chadema ipo mahututi, kwasababu badala ya kwenda mbele imerudi nyuma hatua 1000
Hizo ni propaganda tu za Chadema walishindwa kihalali kabisa na ndiyo maana halikubaliana na matokeo hawakupinga mahakamani.😂😂😂😂😂chama kiko mahututi na bado maccm yanashindwa kushinda kihalali mpaka yatumie mtutu wa bunduki na wizi pia yanahofia Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi 🤣🤣🤣
unamtukanaje mtu mwenye matatizo ya akili ?Samahani kama nitamkwaza mtu. HUYU MBOWE MI NAMUONA KILAZA KILAZA NA ANABEBWA NA KABILA LAKE KUONGOZA CHADEMA.
Matusi ruksa.
Ata mimi Mtanzania nimeridhika na ushindi wa ccm, nyie wapiga domo kila mwaka mkishindwa uchaguzi kulalamika tu , Kwahiyo hiyo ni tabia yenu, halafu hakuna kosa la kutubu hapo, tutubu kisa kelele za chura?acha kuchekesha watuccm ishukuru ujinga na uungwana wa Watanzania ndio Salama yetu.Kilichofanyika 2019 na 2020 chaguzi ilikuwa ni sababu kubwa na tosha, kuteketeza wanazi wa ccm, ushauri wangu mkae kimya na mtubu ,Kisha tushirikiane kudai Katiba mpya kwa ustawi na umoja wa taifa letu.
Katiba mpya haizuii mtu kuwa:-
Rais
Waziri
Mbunge
Diwani
Mwenyekiti wa mtaa
Mjumbe
Sasa uoga wa nini
Wanajua itafumua Tume ya UCHAGUZI inayowabebaKatiba mpya haizuii mtu kuwa:-
Rais
Waziri
Mbunge
Diwani
Mwenyekiti wa mtaa
Mjumbe
Sasa uoga wa nini
HAKUNA ANAYE PINGA KATIBA MPYA, ISIPOKUWA KWANZA WANAODAI KATIBA MPYA NI WANAHARAKATI WENYE VYAMA VYAO NA MATAKWA YA VYAMA VYAO. KWAHIYO MPAKA SASA WANASIASA KUDAI KATIBA NIKUTAFUTA KATIBA ITAKAYOJAA MLENGO NA MATAKWA YA WANASIASA KWA MASILAHI YA VYAMA VYAO. OMBILANGU NI KWAMBA, WANASIASA WOTE WA VYAMA VYA SIASA WAKAE PEMBENI KABISA KWAKUWA TAYALI WAMESHA NAJISI ZOEZI ZIMA. KWA HALI ILIVYO MPAKA SASA IKITOKEA MCHAKATO UKAWA RASMI KATIBA HAITATOKA TENA ZAIDI KAMA HATUTAKUWA MAKINI TUTAISHIA KWENYE MACHFUKO MAKUBWA. WANASIASA WA VYAMA VINGI HAWAWEZI LETA KATIBA KWAKUWA WANAMLENGO TOFAUTI.Katiba mpya haizuii mtu kuwa:-
Rais
Waziri
Mbunge
Diwani
Mwenyekiti wa mtaa
Mjumbe
Sasa uoga wa nini
Umefanya utafiti kwa wananchiHAKUNA ANAYE PINGA KATIBA MPYA, ISIPOKUWA KWANZA WANAODAI KATIBA MPYA NI WANAHARAKATI WENYE VYAMA VYAO NA MATAKWA YA VYAMA VYAO. KWAHIYO MPAKA SASA WANASIASA KUDAI KATIBA NIKUTAFUTA KATIBA ITAKAYOJAA MLENGO NA MATAKWA YA WANASIASA KWA MASILAHI YA VYAMA VYAO. OMBILANGU NI KWAMBA, WANASIASA WOTE WA VYAMA VYA SIASA WAKAE PEMBENI KABISA KWAKUWA TAYALI WAMESHA NAJISI ZOEZI ZIMA. KWA HALI ILIVYO MPAKA SASA IKITOKEA MCHAKATO UKAWA RASMI KATIBA HAITATOKA TENA ZAIDI KAMA HATUTAKUWA MAKINI TUTAISHIA KWENYE MACHFUKO MAKUBWA. WANASIASA WA VYAMA VINGI HAWAWEZI LETA KATIBA KWAKUWA WANAMLENGO TOFAUTI.