26 May 2021
Nairobi, Kenya
MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA
Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe .
Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania baada Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua hatamu za kiuongozi toka kwa Hayati rais John Pombe Joseph Magufuli .
Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe afafanua kuhusu Haki, Uhuru na Maendeleo ya Watu pamoja na demokrasia ni miongoni mwa mambo mengi chombo hiki cha habari cha Kenya kilitaka ufafanuzi.
Freeman Mbowe agusia sera za biashara na kiuchumi ikiwemo kurejesha urali (balance of trade) baina ya Intercontinental trade ya nchi za Africa na dunia ni kubwa kuliko baina ya nchi za kiafrica .
Freeman Mbowe anataka kuona maroli yanayokwenda baina ya nchi za kiafrica yawe mengi kama yale yaendayo bandari za Mombasa au Dar es Salaam kupeleka biashara Ulaya na Asia .
Tanzania inapaswa kujiondoa ktk sera ya utengefu kikanda pia kimataifa na kuja na uwazi kwa kujongea kurejesha mahusiano mazuri ya kimataifa na diplomasia ya kiuchumi .
Chanzo: mwanzo tv
N.B

Mtanzania tunayeweza kumpatia cheo cha heshima kama Professor wa Siasa, Freeman Aikaeli Mbowe mwenyekiti wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania