Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Hivi Tundu Lissu kura ya ndiyo au hapana amepigiwa,maana naona yuko peke yake
 
Hata Mbowe kuwa mwenyekiti wa kudumu ni mpango wa mungu...

Yes you right
Hongera zao mashujaa wetu Freeman Mbowe na Tundu Lissu na hakika "wishes" za jamaa zetu wa Lumumba za kutupenyezea wasaliti wao zimeshindwa!

Hakika uwepo wa chama cha Chadema ni mpango wa Mungu na yeyote anayetamani kukiua chama hicho atapambana na hasira za Mungu wetu aliye Mkuu kuliko kitu chochote hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hauwezi kuandika kwa kiswahili ? Kwanini uandike kwa lugha ambayo huijui ?
This is silly (sorry to use such a word).

Mtu akigombea nafasi dhidi ya kiongozi mwenzake ni usaliti? Where is the democracy in your party? Ujinga ni kuendelea kuwa na mwanachama mnayeamini alipandikizwa na chama kingine.
This is pathetic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom