Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,221
- 1,788
Matokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde.
Mbowe amepata ushindi wa asilimia 93.5 ya kura zote huku mpinzani wake Cecil Mwambe akiambulia kura 59.Tundu Antipass Lissu amezoa kura karibu zote kwa asilimia 98.8.
Matokeo yote ya uchaguzi CHADEMA ni kama yanavyoonyesha chini.
MWENYEKITI WA TAIFA
1.Freeman Mbowe-886-93.5✔
2.Cecil David Mwambe- 59
3.HARIBIKA -3
MAKAMU MWENYEKITI BARA
1.Tundu Antipas Lissu-930-98.8%✔
2.Sophia H.Mwakagenda-11- 1..2%
HARIBIKA 9
MAKAMU MWENYEKITI ZANZIBARI
SAID ISSA MOHAMED
NDIYO 859-88.7%✔
HAPANA 95
HARIBIKA 12
Zaidi, soma:
Mbowe amepata ushindi wa asilimia 93.5 ya kura zote huku mpinzani wake Cecil Mwambe akiambulia kura 59.Tundu Antipass Lissu amezoa kura karibu zote kwa asilimia 98.8.
Matokeo yote ya uchaguzi CHADEMA ni kama yanavyoonyesha chini.
MWENYEKITI WA TAIFA
1.Freeman Mbowe-886-93.5✔
2.Cecil David Mwambe- 59
3.HARIBIKA -3
MAKAMU MWENYEKITI BARA
1.Tundu Antipas Lissu-930-98.8%✔
2.Sophia H.Mwakagenda-11- 1..2%
HARIBIKA 9
MAKAMU MWENYEKITI ZANZIBARI
SAID ISSA MOHAMED
NDIYO 859-88.7%✔
HAPANA 95
HARIBIKA 12
Zaidi, soma:
Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar
WanaJF duniani kote,Wasalaam! Ni asubuhi tulivu kabisa katika jiji la Dar es Salaam huku habari kubwa inayovuma ikiwa ni mkutano mkuu wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA chenye wanachama milioni 6 na nusu wenye kadi. Kama ripota wa JF nipo hapa Mlimani City nimekesha kwa lengo moja tu la...
www.jamiiforums.com