Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,927
- 6,417
Mbona ccm ni Mali ya familia ujiulizi hiloTatizo ni kuwa CHADEMA ni mali ya watu fulani, sio umma. Hivi unafikiri akiondoka Mbowe kitabaki nini? Utakuwa ndiwo mwisho wa chama. CDM ni kama Pertinership business au unlimited company!