Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

Tatizo ni kuwa CHADEMA ni mali ya watu fulani, sio umma. Hivi unafikiri akiondoka Mbowe kitabaki nini? Utakuwa ndiwo mwisho wa chama. CDM ni kama Pertinership business au unlimited company!
Mbona ccm ni Mali ya familia ujiulizi hilo
 
Kama Mbowe tu ndiyo mwenye uwezo wa kuiongoza chadema?

Kwanini Magufuli Pombe asibadili katiba na kuendelea kugombea na kuongoza kwa vipindi vingine zaidi
Huwenda pia yeye ndiyo anafaa tu kuwa rais nchi hii

Chadema wana maoni gani juu ya katiba kubadilishwa na Magu kuendelea kugombea urais?

Kwa kweli naanza kuidharau chadema baada ya Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti



Sent using Jamii Forums mobile app
Ye aendelee hata milele kuwa mwenyekiti wa ccm lakini wa nchi una ukomo
 
Back
Top Bottom