Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,503
- 217,762
Kwa wasiojua kiswahili .
Huyu jamaa muda mwingine nuru muda mwingine giza...Hapaswi kabisa kuwa kiongozi
mzee mbona na yeye hajiamini? atulie maza sio mshamba kama ngosha.
Sasa Mkuu ikiwa Mama anasema anafuata nyayo za Magufuli aliyekimbiza wawekezaji lakini wakati huohuo anataka kurudisha imani ya wawekezaje wewe unaelewa nini ?Huyu jamaa muda mwingine nuru muda mwingine giza...Hapaswi kabisa kuwa kiongozi
Kama ulitegemea akupe uongozi sahau.Rais SSH anateswa na kivuli cha JPM. JPM & CCM mlitaabisha sana Taifa. Rais anaendelea kujisifu kuwa sehemu ya utesi huu. Hajutii. Bila kukiri & kutubu ni ubatili. Bunge haramu nalo giza! Rais kachagua kutafuta suluhu ya CCM siyo Taifa. Kazi bado ipo. Tusibweteke. Muda uongee!
View attachment 1760759
Rais SSH anateswa na kivuli cha JPM. JPM & CCM mlitaabisha sana Taifa. Rais anaendelea kujisifu kuwa sehemu ya utesi huu. Hajutii. Bila kukiri & kutubu ni ubatili. Bunge haramu nalo giza! Rais kachagua kutafuta suluhu ya CCM siyo Taifa. Kazi bado ipo. Tusibweteke. Muda uongee!
View attachment 1760759
Hili ndilo tatizo la viongozi tindi.Huyu jamaa muda mwingine nuru muda mwingine giza...Hapaswi kabisa kuwa kiongozi