Mungu amsaidie huyu mama , afanye kazi yake vizuri , kila mtu anataka amfanyie anayoyataka ,vinginevyo nongwa inaanzia hapo , mmoja wapo ni huyu huyo mbowe ,
 
Ulitaka Mbowe afanye nini wakati mijizi iliiba kura na bunduki zinazonunuliwa kwa Kodi zetu..aaarrggghhh

Acheni huo ujinga kwa nini waiba kura wasiwa amini nyie wakawaibia? Kama kweli huo uizi uko?

Ni upumbavu ulio kubuhu kuwa utashinda uchaguzi kama chama na ama Rais kwa kampeni za kudanganya walalahoi. Hoja kama miundo mbinu hailiwi na upuuzi mwingine hazikupi nchi uiongoze.

Jiulize kwa nini CDM ya 2010 -2015 ilikubalika kiasi kile? CDM imekufa baada ya kubadili gia angani kwa kuchagua fedha badala ya kuchagua kuongoza wananchi. Na waliofanya huo uamuzi wa kipuuzi ndio hawa hawa wanasiasa wanaongoza CDM leo na kulalamika kuibiwa kura. Wakibweka kama mbwa koko ndani na nje ya nchi.

Kama unaweza kupiga bei chama na wanachama wake wote jumla jumla bila ya hofu? Kwa nini usipige bei nchi jumla jumla na wananchi wake wote na hayo mabundukki?

Hii ni sababu wenye akili na hekima wataendelea kulilinda zimwi wa lijualo, chichiem. Maamuzi yenu ya kubadili gia angani yame wagharimu kweli kweli hasa viongozi. Bali walivyo wajinga si dhani kama wanaelewa hilo. Zaidi ya kulalama lalama tu.

Mateso na mahangaiko yenu na taabu mnazo zipigia kelele leo kwa sehemu kubwa ni kazi ya mikono yenu wenyewe viongozi wa CDM na mmesababisha wanachama wenu wengi kuwa wahanga wa maamuzi ya viongozi.

Ingawa na wanachama nao kama walivyo viongozi wengi hawajitambui. Viongozi wa CDM mlijiingiza gulioni wenyewe kama political marchendise baada ya maamuzi yale ya laana ya kubadili gia angani, yaliyoongozwa na TL, Mbowe na gege lao.
 
mauaji ya nini labda!!

kuna vishandu wanauwawa kila siku,magaidi wataendelea kuuwawa pia.

hata wanaohatarisha usalama watauwawa pia,kazi kwenu kuchambua.

..wahusika wanajua MAUAJI gani nayazungumzia hapa.

..wewe inaelekea hujaguswa, au huhusiki.
 
Back
Top Bottom