thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Mbowe na vijana wake klichowapeleka Mwanza si sherehe za uhuru,kilichowapeleka ni kuomba Msamaha kwa Rais Magufuli baada ya wao kumfanyia kila aina figisu na figisu hizo kutokuzaa matunda yoyote toka Jumuiya ya kimataifa,kifupi wamepuuzwa.
Ukiacha hizo vigisu jambo ambalo ndo hasa kiini cha wao kutua mwanza ni kuhusu kesi inayowakabili ya uchochezi na Mauaji ya Akwilina,kesi hii imewakalia vibaya sana ,kuna kifungo ,hivyo wanataka Magufuli auingilie muhimili wa Mahakama ili wasifungwe Jela,hata hivyo sidhani kama Magufuli atafanya hivyo,kwani nia yao katika kuandaa maandamano Yale ilikua ni uhaini dhidi ya dola na mamlaka iliochaguliwa kikatiba.
Hawaaminiki hawa watu,wanachotaka kwa sasa ni wao kupata relief,ili wajipange upya.
Rais usizugwe na hawa walioshindwa Ku practice demokrasia ndani ya vyama vyao.
Wembe ni uleule siasa za kilaghai zitokomezwe nchini