Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

Mwamba anaogopwa kuliko maelezo
KAMANDA_WOTE_MASHUJAA,_WAPENDA_HAKI,_WAFIA_CHAMA__tukutane_KIsutu_leo_mapema_kwenye_kesi_ya_mw...jpg
 
tulishangiliana sana kesi ya Sabaya kumbe ilikuwa ndoano ile...tusifanye masikhara sana unawezakuta majamaa yanaushahidi mtu akaoga miaka hapa...tusiwaamini sana wanasiasa na kujiaminisha sana kwao..
Kwa hiyo walitaka kuuana .....!!
 
Hizi siasa hatari sana.Sabaya yupo Arusha mahabusu akishutumiwa kupora kwa kutumia silaha bila shaka atakuja kuwa shahidi wa kesi ya Mbowe kuja kuthibitisha alitaka kudhuliwa na Mbowe.
Sabaya katika moja ya utetezi wake alishasema mbele ya hakimu kuwa kuna watu walikuwa wanataka kumuua ndiyo maana alikuwa anatembea na silaha na walinzi.

Ukiunganisha dots utapata majibu ya nini kitafuatia.
 
Back
Top Bottom