JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,386
- 9,659
Kutoka Kisutu, Mbowe anashitakiwa kwa makosa mengi ikiwemo kula njama na kusabisha majeraha kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya
Kazi ipo.
Pia soma
Kazi ipo.
Pia soma
Kazi iendeleeKutoka kisutu, Mbowe anashitakiwa kwa makosa mengi ikiwemo kupanga kumuua Sabaya.
Kazi ipoo.
Kutoka kisutu, Mbowe anashitakiwa kwa makosa mengi ikiwemo kupanga kumuua Sabay
Kosa kubwa la Mbowe ni Lissu kushinda Urais 2020 na kuwaamsha Watanzania kudai Katiba mpyatulishangiliana sana kesi ya Sabaya kumbe ilikuwa ndoano ile...tusifanye masikhara sana unawezakuta majamaa yanaushahidi mtu akaoga miaka hapa...tusiwaamini sana wanasiasa na kujiaminisha sana kwao..
Sabaya yupi ??, Kweli TZ tupo uchumi wa Kati,Kutoka kisutu, Mbowe anashitakiwa kwa makosa mengi ikiwemo kupanga kumuua Sabaya.
Kazi ipoo.
Kwa hiyo walitaka kuuana .....!!tulishangiliana sana kesi ya Sabaya kumbe ilikuwa ndoano ile...tusifanye masikhara sana unawezakuta majamaa yanaushahidi mtu akaoga miaka hapa...tusiwaamini sana wanasiasa na kujiaminisha sana kwao..
Kwahiyo 7ya angekaa vibaya yangemkuta ya Chacha Wangwe?Kutoka kisutu, Mbowe anashitakiwa kwa makosa mengi ikiwemo kupanga kumuua Sabaya.
Kazi ipoo.
Sabaya katika moja ya utetezi wake alishasema mbele ya hakimu kuwa kuna watu walikuwa wanataka kumuua ndiyo maana alikuwa anatembea na silaha na walinzi.Hizi siasa hatari sana.Sabaya yupo Arusha mahabusu akishutumiwa kupora kwa kutumia silaha bila shaka atakuja kuwa shahidi wa kesi ya Mbowe kuja kuthibitisha alitaka kudhuliwa na Mbowe.
Mpaka unamwagikaMama anaupiga mwingi
Daah! Haya bhana!Sabaya katika moja ya utetezi wake alishasema mbele ya hakimu kuwa kuna watu walikuwa wanataka kumuua ndiyo maana alikuwa anatembea na silaha na walinzi.
Ukiunganisha dots utapata majibu ya nini kitafuatia.