Hata Prof. Safari pia so?Na Sumaye mlutheri!
Hata Prof. Safari pia so?Na Sumaye mlutheri!
je na wasiojulikana wanafanya nini huko pia kanisani?Haya makanisa nayo ifike mahali yajitathimini, inakuwaje watuhumiwa wa ufisadi ,ukwepaji kodi na madawa ya kulevya wanaingia kanisani?
Umesahau ule wa wakatoliki?Kumbeee sasa nimepata logic...
Lowassa Mlutheri
Mbowe Mlutheri
Kanisa la KKKT sasa linatumika na hawa viongozi wa kisiasa directly kumsimanga na kumsema vibaya Mh. Rais JPM na serikali yetu ya wananchi sbb ya uhusiano wa Chadema & KKKT nimeona sasa..
Mku kama viongizi wa kiroho wameona hili la huzuni ni nani mwenye amanimbona wanatia huruma