Freeman Mbowe na Dkt. Vincent Mashinji, waalikwa Ghana kuapishwa kwa rais Mteule Nana Akufo

Yule wa Gambia utadhani alipiga simu kwa jeccha akaamua kubadili mawazo ghafla baada ya awali kukubali kushindwa na kumpigia simu mshindi
 
Hope upande wa pili wataalikwa kwa Jameh. Wafananao huenda pamoja, wa kale walisema.
 
Mambo kama ya Kupambana kuhusu Tume huru Ya Uchaguzi

Mabadiliko ya kisheria na kikatiba kuhusu kuhoji matokeo ya urais mahakamani

Ushindi wa urais kuwa 50+1 %

Mabadiliko ya sheria gandamizi za vyombo vya habari na mitandao

Uwajibikaji wa serikali kwa wananchi wake mfano wizi wa fedha za wananchi

Matumizi mabaya ya fedha za serikali yaliyofanywa na magufuli mwenyewe kwa kuamua kujijengea airport nyumbani kwao

Haya ndio mambo ambayo upinzani ulipaswa kuyapigia kelele na presha kubwa ...na sio kuzurura na kutaka bunge live
Hayo yote huwezi kuyapata ukiwa umejifungia ndani, exposure ya nje na kujifunza wengine wamefanikiwaje ni muhimu.
 
Ujinga tu...matumizi mabaya ya Ruzuku

Wanashindwa ku focus kwenye mambo ya msingi na wanataka washinde uchaguzi
Ujinga tu...matumizi mabaya ya Ruzuku

Wanashindwa ku focus kwenye mambo ya msingi na wanataka washinde uchaguzi
Stupidity at your best, hutaki CHADEMA ishinde?
CCM imekuoa wewe pimbi?
Eti wa focus, kuna focus zaidi ya ushindi?
Nyie mbona mnaua watu Kwa kutaka ushindi?
 
kama haukuwajibu "ni kweli gazet la UHURU liliripoti" basi tukupime hisa ya akili

Haa haaa umenivunja mbavu,kwanza niliwauliza wameambiwa na nani wakasema waliona kwenye TV zao sijui na magazeti.Mimi sikujibu chochote kwani mimi "si msemaji wa Serikali"
 
Stupidity at your best, hutaki CHADEMA ishinde?
CCM imekuoa wewe pimbi?
Eti wa focus, kuna focus zaidi ya ushindi?
Nyie mbona mnaua watu Kwa kutaka ushindi?

Ni ujinga wa kiwango cha PHD kudhani utashinda uchaguzi katika mazingira ya sasa ya kikatiba na Tume ya Uchaguzi
 
Mbona haiendi mkuu wa chama? Au mbowe ndo anaaga kabla ya kukabidhi chama?

Anaondoka na mshauri wa chama wa masuala ya siasa?
 
Viongozi wa Serikali ya Tanzania hawajaalikwa?Tuna mahusiano mazuri na Ghana tangu Enzi za Kambarage.Anyway,kuna rafiki zangu wa Ghana wanampa big up sana Rais wetu wa JMT.Juzi walikuwa wananiuliza kwenye WhatsApp kwa kushangaa eti "tumesikia Rais wenu anataka kujenga viwanda 1000?"
Ungemwambia anavijenga akiwa usingizini
 
Back
Top Bottom