Freeman Mbowe leo amemtembelea mbunge wa Kilombero Lijuakali Magereza Ukonga jijini Dar

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Mwenyekiti wa Chadema Taifa ambaye pia mbunge wa Jimbo la Hai Mhe . Freeman Mbowe leo
akiwa Makamu Mwenyekiti wa Greater wa Dar es salaam Mhe Bernard Mwakyembe na Mwenyekiti wa CUF Dar es Salaam Mhe Shabani Fungo
wamemtembelea mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe. Lijuakali na Kamanda wa RB (Red Brigade )Ndugu Zinga Muro katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mbowe akiwasili katika Gereza la Ukonga
tmp_10178-IMG_20170205_220213-839155927.jpg

Baada ya kutoka magereza Ukonga
Mhe Freeman Mbowe akiwa Makamu Mwenyekiti wa Greater wa Dar es salaam Mhe Bernard Mwakyembe na Mwenyekiti wa CUF Dar es Salaam Mhe Shabani Fungo alikutana na madiwani wa Ukonga pamoja na Viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA )
tmp_26606-39084d8dfe1e1371433512c28365aa97-1869385642.jpg

Freeman Mbowe akiongea na Viongozi hao.
 
Si alisema baada ya sikukuu ya Xmas na mwaka mpya atamtafuta Ben saa8 mbona kimya tena mwezi wa pili huu, au kick limeshtukiwa? ?
 
Mwenyekiti wa Chadema Taifa ambaye pia mbunge wa Jimbo la Hai Mhe . Freeman Mbowe leo
akiwa Makamu Mwenyekiti wa Greater wa Dar es salaam Mhe Bernard Mwakyembe na Mwenyekiti wa CUF Dar es Salaam Mhe Shabani Fungo
wamemtembelea mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe. Lijuakali na Kamanda wa RB (Red Brigade )Ndugu Zinga Muro katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mbowe akiwasili katika Gereza la Ukonga
View attachment 467588
Baada ya kutoka magereza Ukonga
Mhe Freeman Mbowe akiwa Makamu Mwenyekiti wa Greater wa Dar es salaam Mhe Bernard Mwakyembe na Mwenyekiti wa CUF Dar es Salaam Mhe Shabani Fungo alikutana na madiwani wa Ukonga pamoja na Viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA )
View attachment 467550
Freeman Mbowe akiongea na Viongozi hao.

Mwambie kesho aende na kumtembelea Tundu Lisu na amshauri aache sembe!
 
Back
Top Bottom