Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,571
- 217,925
Hii si ya kukosa kabisa .
Nasema hivi , Siongezi neno loloteYaani had nimesisimka uzuri Hai sio kama Morogoro au Bariadi au Simiyu au dodoma
Karibu sana KamandaTwende kazi operation sukuma Jiwe out .
Mbowe ni jabali la siasa za Tanzania , hana mfanoSalam ziwafikie joka kuu na wafuasi wake.Kwa kweli Mh.Mboe anastahili pongezi na kuombewa sana kwa Mungu Baba, sijui mchaga gani huyu kashindwa kuuza utu na heshima yake,kuwa saliti wengi kwa vipande vya pesa!?
Hivi shibuda yupo ?Katika list ya wanaume halisi Tanzania Mbowe yuko top.3! hakuna mtu alopata misukosuko kama Mbowe jaman..anaroho ya kiume wengi wa wanaume hawana...!
Huwez kamwe mfananisha Mbowe na Shibuda!
karibu sana mkuu , uko Hai sehemu gani ?Tumekuzoea mzee wa chumvi na mitikisiko.
Hivi shibuda yupo ?
Asante. Mambo ya location siku nyingine.karibu sana mkuu , uko Hai sehemu gani ?
Yupi? Yule undercover agent wa nyama choma na bia za dezo?Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya hai ametoa ruhusa ya mikutano?.