Freeman Mbowe Kutikisa Hai , mzizi wa fitina kukatiliwa mbali , kuna mtu anapanga kukimbia , hata hivyo mipaka imefungwa

ninachojua Hai ni jimbo la CCM tulimkodisha Mbowe kama alivyokodishwa BİLİCANAS kwa hiyo kudai na kuchukua kilicho chetu si kosa

Sio Hai tu,this time ni majimbo yote. Unapigana na mtu umemfunga mikono,bado unaleta sungusungu wamzunguke,akikuoiga tu teke anabebwa kuwa anarusha mawe wakati mikono imefungwa.
Unatoka hapo unatamba kuwa umemgalagaza.....Only in Tanzania.
Laiti uwanja ungewekwa huru na kwa vile chama dola kinapendwa naamini surprise ambayo Haraka haraka angeipata asingesahau.
 
Back
Top Bottom