Freeman Mbowe Kutikisa Hai , mzizi wa fitina kukatiliwa mbali , kuna mtu anapanga kukimbia , hata hivyo mipaka imefungwa

hahahhaa. jamaa alitaka kumla Nandy kwa nguvu? anagonga milango usiku kwenye hotel za watalii ? yule DC wa Hai mpuuzi kweli? sio kosa lke kw sababu alishawahi danganya yye ni TISS
Automatically Mkuu Wa Wa Wilaya naye ni TISS tu, kwani ni afisa usalama wa taifa katika eneo lake, ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wilayani.Akijiita yeye TISS ni sawa
 
Hii ni alipokuwa Mwenyekiti wa UVCCM , hawezi kujiita TISS kisa ni uvccm , huu ni upumbavu
 
Salam ziwafikie joka kuu na wafuasi wake.Kwa kweli Mh.Mboe anastahili pongezi na kuombewa sana kwa Mungu Baba, sijui mchaga gani huyu kashindwa kuuza utu na heshima yake,kuwa saliti wengi kwa vipande vya pesa!?
Si ndiye aliyekikabidhi Chama kwa Mtu Mwenye Mapene.
Si ndiye aliyetafuna maniliu ya Chama akidai kuwa alikopesha.
Si ndiye alijimilikisha Mashamba Makubwa.
Si ndiye anayemiliki Kikosi maalum cha Safisha Wapinga Mbowe.
Si ndiye anaye waita Wasaliti wale wote Wanaotaka kugombea nafasi ya uenyekiti.
Si ndiye Mkwe wa Mwenye Chama aliyemilikishwa Chama.
Si ndiye Mkwepa Kodi.
Si ndiye aliyefeli shule kwa kuendekeza bata batani.
Si ndiye Mpaka sasa haeleweki Mke Wake ni yupi.

Basi endeleeni maana vitu ni vingi vya kumwaga.
 
Huna lolote mnafiki mkubwa we !
 
Back
Top Bottom