Freeman Mbowe kuteta na vijana wa Tanzania tarehe 09/12/2013

BAVICHA Taifa

Senior Member
Jul 25, 2013
117
661
BARAZA la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limeandaa kongamano kubwa la vijana tarehe 09/12/2013 Jumatatu jijini Dar es salaam kwenye ukumbi wa Landmark mahususi kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanzania

Mgeni rasmi wa kongamano hili litakaloanza saa tatu asubuhi atakuwa FREEMAN AIKAEL MBOWE (MB) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi ya upinzania bungeni.

Mh Mbowe atatumia fursa hii kuzungumza na vijana wa Tanzania ya mustakabali wao ndani ya Taifa na ataambatana na wageni wazungumzaji ambao ni Tundu Antipas Lisu (MB) mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika (MB), Mabere Marando Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na gwiji la sheria nchini, Halima James Mdee (MB) na Dr KAmilius Kasala guru la masuala ya uchumi nchini.

Vijana na wanachni kwa ujumla mnakaribishwa kwenye shughuli hii ambayo itakuwa ni mbadala wa mizinga ya uwanja wa taifa siku hiyo kwa kuitafakari zaidi Tanzania yetu.
attachment.php
 
Attachments

  • KONGAMANO.jpg
    KONGAMANO.jpg
    105.3 KB · Views: 558
Kuku na viranga wake wataleta lipi jipya. Story ni ile ile. Chinja yoyote yule atakae karibia kiti cha mbowe.

Hakuna lolote hapo
 
Whoever fights with Mbowe is a traitor! Mbowe ni mzigo wa kimaruhani! Sikio la kufa Hilo!

Chama cha mkwewe, anatoka Kaskazini, ni mchaga, ni Mkabila aliyekubuhu na mdini asiye na mfano!

Namchukia Mbowe Kama ninavyomchukia shetani!
 
Naona Mbowe kimyakimya ameanza kutekeleza yaliyomo kwenye waraka wa mwigamba. Waraka unasema mwenyekiti na katibu mkuu wake wanashindwa kutumia matukio muhimu ya kitaifa kama sherehe za uhuru kujinadi mbele ya macho ya watanzania
 
Bunge litakuwa limekwisha???!!!!!
Kama bado huo msafara mpaka huko unagharamiwa na nani???!!
Kwa nini msifanyie huko Dodoma kama watakuwepo huko ambapo vijana wa Singida,Moro, Tabora, Iringa wangeweza fika kwa urahisi??!!!!
Halafu kuongea na vijana wa Tanzania akiwa landmark maana yake nini???!!!!

Topic itoke mapema watu wajiandae sio kukurupushana wakati ni jambo la kujadili!!!!!!
Kwa nini wageni wengi ni wanasheria wakati wangehitajika wataalamu wa mambo mengine kama afya, elimu, sera nakadhalika???!!!
 
sisi siyo maboya, endeleeni na upuuzi wenu, wabaguzi wakubwa nyie

Na wewe utaendelea na upumbafu wako hadi utakapokuja gutuka kumekucha na nchi imekombolewa.KUMBUKA MUNGU HUWANYESHEA MVUA WENYE HAKI NA WASIO HAKI.
 
Whoever fights with Mbowe is a traitor! Mbowe ni mzigo wa kimaruhani! Sikio la kufa Hilo!

Chama cha mkwewe, anatoka Kaskazini, ni mchaga, ni Mkabila aliyekubuhu na mdini asiye na mfano!

Namchukia Mbowe Kama ninavyomchukia shetani!

Na ungejua tunavyoyachukia maccm na vibaraka wao like you kwa kudumaza maendeleo ya Taifa letu kulikosababishwa na ufisadi wao usingeandika hizo pumba zako hapa.Tunayachukia kama UKIMWI NA KIFO
 
Vijana tutamsikiliza, muhimu Ni maendeleo ya nchi yetu. Tumechoka Sanaa za MaCCM kwa miaka 52

sio vibaya akitumia fursa hii kutuhakikishia kwamba uchaguzi mkuu ndani ya chama mwakani utakuwa wa demokrasia ya kweli (huru na haki), kwamba whether ni mbowe/yeyote LAZIMA agombee na mwingine!.
 
whoever fights with mbowe is a traitor! Mbowe ni mzigo wa kimaruhani! Sikio la kufa hilo!

Chama cha mkwewe, anatoka kaskazini, ni mchaga, ni mkabila aliyekubuhu na mdini asiye na mfano!

Namchukia mbowe kama ninavyomchukia shetani!

umebeba mafundo yafuatayo

chuki
wivu
udini

huna jipya you are just a simple hater
 
Bunge litakuwa limekwisha???!!!!!
Kama bado huo msafara mpaka huko unagharamiwa na nani???!!
Kwa nini msifanyie huko Dodoma kama watakuwepo huko ambapo vijana wa Singida,Moro, Tabora, Iringa wangeweza fika kwa urahisi??!!!!
Halafu kuongea na vijana wa Tanzania akiwa landmark maana yake nini???!!!!

Topic itoke mapema watu wajiandae sio kukurupushana wakati ni jambo la kujadili!!!!!!
Kwa nini wageni wengi ni wanasheria wakati wangehitajika wataalamu wa mambo mengine kama afya, elimu, sera nakadhalika???!!!

yaani wewe unataka wawe bungeni hata kwenye sikukuu ya uhuru?? mbona jk anahutubij wazee dsm auongei, ccm ya wazee, cdm ya vijana.
 
Whoever fights with Mbowe is a traitor! Mbowe ni mzigo wa kimaruhani! Sikio la kufa Hilo!

Chama cha mkwewe, anatoka Kaskazini, ni mchaga, ni Mkabila aliyekubuhu na mdini asiye na mfano!

Namchukia Mbowe Kama ninavyomchukia shetani!

Familia ya kikwete CCM haizungumzwi, familia ya makamba ccm haizungumzwi, familia ya malecela ccm haizungumzwi, familia ya Malima ccm haizungumzwi, familia ya kawawa ccm haizungumzwi, familia ya mzee Nnauye haizungumzwi, lakini Chadema inasemwa ni chama cha kidini, cha mzee mtei. Wanasiasa wanakazi. Sawa, nyani haoni kundule
 
yaani wewe unataka wawe bungeni hata kwenye sikukuu ya uhuru?? mbona jk anahutubij wazee dsm auongei, ccm ya wazee, cdm ya vijana.

Yataka busara na uzalendo wa kweli kisema ukweli hata ukiwa unauma!!!!!
Na hiyo ndio tofauti ya wapigania uhuru na wapigania madaraka!!!!

We are inn differnt war zones with differnt "circumcission" styles we aint gon be the same never ever!!!!!!!!
 
BARAZA la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limeandaa kongamano kubwa la vijana tarehe 09/12/2013 Jumatatu jijini Dar es salaam kwenye ukumbi wa Landmark mahususi kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanzania

Mgeni rasmi wa kongamano hili litakaloanza saa tatu asubuhi atakuwa FREEMAN AIKAEL MBOWE (MB) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi ya upinzania bungeni.

Mh Mbowe atatumia fursa hii kuzungumza na vijana wa Tanzania ya mustakabali wao ndani ya Taifa na ataambatana na wageni wazungumzaji ambao ni Tundu Antipas Lisu (MB) mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika (MB), Mabere Marando Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na gwiji la sheria nchini, Halima James Mdee (MB) na Dr KAmilius Kasala guru la masuala ya uchumi nchini.

Vijana na wanachni kwa ujumla mnakaribishwa kwenye shughuli hii ambayo itakuwa ni mbadala wa mizinga ya uwanja wa taifa siku hiyo kwa kuitafakari zaidi Tanzania yetu.

Je itarushwa LIVE na kituo chochote cha TV au vitakuwa busy uwanja wa taifa kumulika mizinga?
 
BARAZA la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limeandaa kongamano kubwa la vijana tarehe 09/12/2013 Jumatatu jijini Dar es salaam kwenye ukumbi wa Landmark mahususi kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanzania

Mgeni rasmi wa kongamano hili litakaloanza saa tatu asubuhi atakuwa FREEMAN AIKAEL MBOWE (MB) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi ya upinzania bungeni.

Mh Mbowe atatumia fursa hii kuzungumza na vijana wa Tanzania ya mustakabali wao ndani ya Taifa na ataambatana na wageni wazungumzaji ambao ni Tundu Antipas Lisu (MB) mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika (MB), Mabere Marando Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na gwiji la sheria nchini, Halima James Mdee (MB) na Dr KAmilius Kasala guru la masuala ya uchumi nchini.

Vijana na wanachni kwa ujumla mnakaribishwa kwenye shughuli hii ambayo itakuwa ni mbadala wa mizinga ya uwanja wa taifa siku hiyo kwa kuitafakari zaidi Tanzania yetu.

Asante kwa taarifa yako mkuu,
Je! itakuwa live kwenye chanel ipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom