Freeman Mbowe kuteta na vijana wa Tanzania tarehe 09/12/2013

Whoever fights with Mbowe is a traitor! Mbowe ni mzigo wa kimaruhani! Sikio la kufa Hilo!

Chama cha mkwewe, anatoka Kaskazini, ni mchaga, ni Mkabila aliyekubuhu na mdini asiye na mfano!

Namchukia Mbowe Kama ninavyomchukia shetani!

sasa mbona chuki yako haifanyi kazi zaidi ya wewe kuteseka nayo...
 
wewe nae sijui umekurupukia wapi,kongamano ni la vijana,kujadili mambo yanayousu vijana wa taifa hili,sasa zzt na dr wa nini hapo wakati sio kongamo la kuwajadili wao..wanaweza wakaja wakajumuika na watu wengine kama kawaida. sio lazima wawe wasemaji wakuu bana

Tatizo letu ni kujadili watu! inapofika muda wa ukombozi nguvu zielekezwe kwa taasisi kijana! tazama coments zako za nyuma,sasa kati yangu na wewe nani anakurupuka! Crucial Man

na bado, mpaka tuwaondoe wote mamluki wa wasira,hapa hapendwi mtu,ni sera za chama tu
bye bye go Rip
no room for moles in cdm
bora tubaki wachache,moles wote ondokeni.juha mwenyewe
kile kitendo hakikubaliki,wale wahuni wachukuliwe hatua za kinidhamu,bora kubaki na wanachama watatu lakini wenye hakili timamu sio wale wahuni.
hongera kamati kuu,hao walikuwa ni ccm moles
hayo ndio maamuzi magumu yanayotakiwa,sio kubwabwaja eti vua gamba wakati huo uwezo hamna
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndipo uwezo wenu wa kufikiri ulipokomea?
Siku ya uhuru wa nchi nyie mnajifungia hotelin, kwanini msiende kujifunza itifaki walau siku moja mtamani kuwa viongozi wa nchi na dola?

Nilishasema na naendelea kukumbusha chadema inaogopa kuongoza nchi wanaona biashara ya Kula ruzuku wanayoifanya imewatosha.

Hawa watu hamnazo kabisa,hawajui taswira gani wanaitengeneza kwa wananchi.
Naomba magazeti yawaponde siku hiyo, wehu hawa.

wewe chuki ni mwalimu mzuri sana. nasikia ukitaka kuwa kiongozi wa watu katika nchi yenye demokrasia kitu cha kwanza unatakiwa kujua ni jinsi ya kuvumilia matusi; kwanza ya maneno, hata yale ya kuchorwa. kuna sikua unaweza kuamka ukute kuna mtu kakuchora pua ya kibantu kubwa kuliko kichwa.... na unatakiwa uvumilie hilo.

Umesemaje? eti hawa chadema hamnazo kabisa? magazeti yawaponde kabisa wehu hawa.... ha ha ha ha....

Mbona unafanya kazi nzuri sana kuandaa viongozi wa kesho kwa haya matusi yako. Ngoja nikuoongezee jingine.

chadema mafisi wakubwa hawa; mbweha kabisa hawa.... kila siku ng'weee, ng'weee, ng'weee ng'weee ng'weee. HAYA, na wewe ongezea na mengine hapo tuwaandae vizuri hawa....
 
sisi siyo maboya, endeleeni na upuuzi wenu, wabaguzi wakubwa nyie

...kaaa pembeni,mtu mwenyewe uko kama Pilitoni, si tunalisongesha mpaka kieleweke,,,piiiipoooooozzzzzz pooooowweeeeeeerrrrrr....!!!
 
Last edited by a moderator:
landmark panatosha kweli? mbona isiwe nje ktk eneo la wazi?
kila lakheri, tunaisubili hiyo jumatatu!

Land mark ni sehemu kubwa sana kwa hiyo usiwe na shaka yoyote.
Muhimu ni kutoa fursa ya watu kujadili na watu kutoa maoni kwa wingi kama ingekuwa vinginevyo. Tunashukuru kwa maoni yako.
 
Familia ya kikwete CCM haizungumzwi, familia ya makamba ccm haizungumzwi, familia ya malecela ccm haizungumzwi, familia ya Malima ccm haizungumzwi, familia ya kawawa ccm haizungumzwi, familia ya mzee Nnauye haizungumzwi, lakini Chadema inasemwa ni chama cha kidini, cha mzee mtei. Wanasiasa wanakazi. Sawa, nyani haoni kundule

kiruu, chadema chumbani aka family!!!!!!!!!!!!!!!
 
kiruu, chadema chumbani aka family!!!!!!!!!!!!!!!

Mwenyekiti wa chama cha magamba Mr. Jakaya Kikwete (Baba Mwanaasha)
Mjumbe wa Nec ya Magamba Mrs Salama Kikwete (Mama Mwanaasha)
Mjumbe wa Nec ya Magamba Mr. Riziwani Kikwete (Kaka yake Mwanaasha)

Bado unataka matani wewe?
 
BARAZA la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limeandaa kongamano kubwa la vijana tarehe 09/12/2013 Jumatatu jijini Dar es salaam kwenye ukumbi wa Landmark mahususi kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanzania

Mgeni rasmi wa kongamano hili litakaloanza saa tatu asubuhi atakuwa FREEMAN AIKAEL MBOWE (MB) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi ya upinzania bungeni.

Mh Mbowe atatumia fursa hii kuzungumza na vijana wa Tanzania ya mustakabali wao ndani ya Taifa na ataambatana na wageni wazungumzaji ambao ni Tundu Antipas Lisu (MB) mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika (MB), Mabere Marando Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na gwiji la sheria nchini, Halima James Mdee (MB) na Dr KAmilius Kasala guru la masuala ya uchumi nchini.

Vijana na wanachni kwa ujumla mnakaribishwa kwenye shughuli hii ambayo itakuwa ni mbadala wa mizinga ya uwanja wa taifa siku hiyo kwa kuitafakari zaidi Tanzania yetu.

naunga mkono na mungu awe mbele yenu
 
wewe chuki ni mwalimu mzuri sana. nasikia ukitaka kuwa kiongozi wa watu katika nchi yenye demokrasia kitu cha kwanza unatakiwa kujua ni jinsi ya kuvumilia matusi; kwanza ya maneno, hata yale ya kuchorwa. kuna sikua unaweza kuamka ukute kuna mtu kakuchora pua ya kibantu kubwa kuliko kichwa.... na unatakiwa uvumilie hilo.

Umesemaje? eti hawa chadema hamnazo kabisa? magazeti yawaponde kabisa wehu hawa.... ha ha ha ha....

Mbona unafanya kazi nzuri sana kuandaa viongozi wa kesho kwa haya matusi yako. Ngoja nikuoongezee jingine.

chadema mafisi wakubwa hawa; mbweha kabisa hawa.... kila siku ng'weee, ng'weee, ng'weee ng'weee ng'weee. HAYA, na wewe ongezea na mengine hapo tuwaandae vizuri hawa....

Eti na huyu nae ni great thinker, Jamii kuna vioja na viroja jamanai!!!!!!
 
walioalikwa ni vijana , KIKONGWE KAMA WEWE marufuku , ujana wako hatujui ulikoumalizia , leo UMEKONGOROKA ndiyo unajichanganya na sisi ! Kwenda zako kafie mbele .

Hapana kamanda, hata vikongwe kama hawa wanatakua wanahusika. Kwani kikongwe hawezi kutubu akaokoka?
 
Tatizo kubwa mlilofanya nyinyi waandaaji ni kutowaita ZZK na Mkumbo! kwani ilibidi waitwe ili siku hiyo mazuri yao au utumbo wao ujulikane lakini kitendo cha kuendelea kuwatenga wakati hawajafukuzwa chamani ni kuonesha wazi kuna mkakati wa kuwafuta hawa jamaa katika siasa wakati kuna kundi fulani nyuma yao.

Nashangaa watu kama Mzee Mwanakijiji na wenzao kutojua hili. kwa nini tunaendekeza siasa za visasi ,fitina nk tubadilike jamani.

Hawa 'wasaliti' ni bora waitwe kwani vigumu kuaminisha umma kwamba mdee,lisu na mnyika wana nguvu za ushawishi kwa vijana kuzidi Zitto na mkumbo.

Ninapoona siasa za hivi naumia sana

Wewe ndio mfitini, mtu wa chuki na visasi kwa sababu akili yako inaangalia ,mambo hayo kila dakika.

Alikuambia nani hili ni kongamano la kujenga au kutafuta kuhukumu watu.
Au wewe ndo wale wale bendera fuata upepo?
Mbona unaaibisha hili jukwaa kwa ugoro wako ulioandika hapa?
 
Ningekuja lakini nyie siku hizi mmekua kama al qaida,mmeanzisha kautaratibu kwa kujipiga mabomu,so mie siwezi bora niende taifa nikamcheki JK!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom