Freeman Mbowe kuteta na vijana wa Tanzania tarehe 09/12/2013

sisi siyo maboya, endeleeni na upuuzi wenu, wabaguzi wakubwa nyie

walioalikwa ni vijana , KIKONGWE KAMA WEWE marufuku , ujana wako hatujui ulikoumalizia , leo UMEKONGOROKA ndiyo unajichanganya na sisi ! Kwenda zako kafie mbele .
 
Tunawashukuru sana BAVICHA , jumuiya pekee ya vijana iliyo hai EAST AND CENTRAL AFRICA , zingine zinavuma kwenye ugomvi wa posho tu !
 
Hapa ndipo uwezo wenu wa kufikiri ulipokomea?
Siku ya uhuru wa nchi nyie mnajifungia hotelin, kwanini msiende kujifunza itifaki walau siku moja mtamani kuwa viongozi wa nchi na dola?

Nilishasema na naendelea kukumbusha chadema inaogopa kuongoza nchi wanaona biashara ya Kula ruzuku wanayoifanya imewatosha.

Hawa watu hamnazo kabisa,hawajui taswira gani wanaitengeneza kwa wananchi.
Naomba magazeti yawaponde siku hiyo, wehu hawa.
 
hapa ndipo uwezo wenu wa kufikiri ulipokomea?
Siku ya uhuru wa nchi nyie mnajifungia hotelin, kwanini msiende kujifunza itifaki walau siku moja mtamani kuwa viongozi wa nchi na dola?

Nilishasema na naendelea kukumbusha chadema inaogopa kuongoza nchi wanaona biashara ya kula ruzuku wanayoifanya imewatosha.

Hawa watu hamnazo kabisa,hawajui taswira gani wanaitengeneza kwa wananchi.
Naomba magazeti yawaponde siku hiyo, wehu hawa.

utafiti unaonyesha kwamba , milipuko yenye kishindo kikubwa ( mabomu , mizinga nk )huharibu ngoma ya sikio , na kwa vile tunafahamu kwamba hakuna lolote la msingi litakalozungumzwa basi hakuna haja ya kuhatarisha masikio yako .
 
BARAZA la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limeandaa kongamano kubwa la vijana tarehe 09/12/2013 Jumatatu jijini Dar es salaam kwenye ukumbi wa Landmark mahususi kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanzania

Mgeni rasmi wa kongamano hili litakaloanza saa tatu asubuhi atakuwa FREEMAN AIKAEL MBOWE (MB) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi ya upinzania bungeni.

Mh Mbowe atatumia fursa hii kuzungumza na vijana wa Tanzania ya mustakabali wao ndani ya Taifa na ataambatana na wageni wazungumzaji ambao ni Tundu Antipas Lisu (MB) mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika (MB), Mabere Marando Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na gwiji la sheria nchini, Halima James Mdee (MB) na Dr KAmilius Kasala guru la masuala ya uchumi nchini.

Vijana na wanachni kwa ujumla mnakaribishwa kwenye shughuli hii ambayo itakuwa ni mbadala wa mizinga ya uwanja wa taifa siku hiyo kwa kuitafakari zaidi Tanzania yetu.

Tatizo kubwa mlilofanya nyinyi waandaaji ni kutowaita ZZK na Mkumbo! kwani ilibidi waitwe ili siku hiyo mazuri yao au utumbo wao ujulikane lakini kitendo cha kuendelea kuwatenga wakati hawajafukuzwa chamani ni kuonesha wazi kuna mkakati wa kuwafuta hawa jamaa katika siasa wakati kuna kundi fulani nyuma yao.

Nashangaa watu kama Mzee Mwanakijiji na wenzao kutojua hili. kwa nini tunaendekeza siasa za visasi ,fitina nk tubadilike jamani.

Hawa 'wasaliti' ni bora waitwe kwani vigumu kuaminisha umma kwamba mdee,lisu na mnyika wana nguvu za ushawishi kwa vijana kuzidi Zitto na mkumbo.

Ninapoona siasa za hivi naumia sana
 
Hivu itakuwa ni kwa vijana wote au?, je tunatakiwa kujisajili?

Tupeni hata email kwa ajili ya maini ya wanachama na vijana.
 
tatizo kubwa mlilofanya nyinyi waandaaji ni kutowaita zzk na mkumbo! Kwani ilibidi waitwe ili siku hiyo mazuri yao au utumbo wao ujulikane lakini kitendo cha kuendelea kuwatenga wakati hawajafukuzwa chamani ni kuonesha wazi kuna mkakati wa kuwafuta hawa jamaa katika siasa wakati kuna kundi fulani nyuma yao.

Nashangaa watu kama mzee mwanakijiji na wenzao kutojua hili. Kwa nini tunaendekeza siasa za visasi ,fitina nk tubadilike jamani.

Hawa 'wasaliti' ni bora waitwe kwani vigumu kuaminisha umma kwamba mdee,lisu na mnyika wana nguvu za ushawishi kwa vijana kuzidi zitto na mkumbo.

Ninapoona siasa za hivi naumia sana

wanayo nafasi yao kule uvccm kwenye kongamano la mbio za mwenge !
 
mkuu kuna kiingilio? ukumbi utatosha kweli? je ni landmark ya ubungo?
 
Tatizo kubwa mlilofanya nyinyi waandaaji ni kutowaita ZZK na Mkumbo! kwani ilibidi waitwe ili siku hiyo mazuri yao au utumbo wao ujulikane lakini kitendo cha kuendelea kuwatenga wakati hawajafukuzwa chamani ni kuonesha wazi kuna mkakati wa kuwafuta hawa jamaa katika siasa wakati kuna kundi fulani nyuma yao.

Nashangaa watu kama Mzee Mwanakijiji na wenzao kutojua hili. kwa nini tunaendekeza siasa za visasi ,fitina nk tubadilike jamani.

Hawa 'wasaliti' ni bora waitwe kwani vigumu kuaminisha umma kwamba mdee,lisu na mnyika wana nguvu za ushawishi kwa vijana kuzidi Zitto na mkumbo.

Ninapoona siasa za hivi naumia sana

Wakiitwa hao kuna watu watabaki mabubu mkuu!!!!
Hawajasahauliwa hao ni deliberate omission!!!
 
Hapa ndipo uwezo wenu wa kufikiri ulipokomea?
Siku ya uhuru wa nchi nyie mnajifungia hotelin, kwanini msiende kujifunza itifaki walau siku moja mtamani kuwa viongozi wa nchi na dola?

Nilishasema na naendelea kukumbusha chadema inaogopa kuongoza nchi wanaona biashara ya Kula ruzuku wanayoifanya imewatosha.

Hawa watu hamnazo kabisa,hawajui taswira gani wanaitengeneza kwa wananchi.
Naomba magazeti yawaponde siku hiyo, wehu hawa.

Wewe inaelekea hazikutoshi.

Umeambiwa ukumbi ni Landmark wewe umeongezea hoteli ili kukidhi haja yako.

Lakini hata kama ni hotelini wewe inakuwasha nini. Si uende kwenye mizinga ?
 
BARAZA la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limeandaa kongamano kubwa la vijana tarehe 09/12/2013 Jumatatu jijini Dar es salaam kwenye ukumbi wa Landmark mahususi kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanzania

Mgeni rasmi wa kongamano hili litakaloanza saa tatu asubuhi atakuwa FREEMAN AIKAEL MBOWE (MB) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi ya upinzania bungeni.

Mh Mbowe atatumia fursa hii kuzungumza na vijana wa Tanzania ya mustakabali wao ndani ya Taifa na ataambatana na wageni wazungumzaji ambao ni Tundu Antipas Lisu (MB) mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika (MB), Mabere Marando Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na gwiji la sheria nchini, Halima James Mdee (MB) na Dr KAmilius Kasala guru la masuala ya uchumi nchini.

Vijana na wanachni kwa ujumla mnakaribishwa kwenye shughuli hii ambayo itakuwa ni mbadala wa mizinga ya uwanja wa taifa siku hiyo kwa kuitafakari zaidi Tanzania yetu.

Vijana wa Tanzania au BAVICHA?
 
Zitto kiboko yake mbona hajawahi kuiandaa hiyo kabla ya mgogoro ???

Adanganye anaofanana nao tuuuu siyo sisi
 
Tatizo kubwa mlilofanya nyinyi waandaaji ni kutowaita ZZK na Mkumbo! kwani ilibidi waitwe ili siku hiyo mazuri yao au utumbo wao ujulikane lakini kitendo cha kuendelea kuwatenga wakati hawajafukuzwa chamani ni kuonesha wazi kuna mkakati wa kuwafuta hawa jamaa katika siasa wakati kuna kundi fulani nyuma yao.

Nashangaa watu kama Mzee Mwanakijiji na wenzao kutojua hili. kwa nini tunaendekeza siasa za visasi ,fitina nk tubadilike jamani.

Hawa 'wasaliti' ni bora waitwe kwani vigumu kuaminisha umma kwamba mdee,lisu na mnyika wana nguvu za ushawishi kwa vijana kuzidi Zitto na mkumbo.

Ninapoona siasa za hivi naumia sana

wewe nae sijui umekurupukia wapi,kongamano ni la vijana,kujadili mambo yanayousu vijana wa taifa hili,sasa zzt na dr wa nini hapo wakati sio kongamo la kuwajadili wao..wanaweza wakaja wakajumuika na watu wengine kama kawaida. sio lazima wawe wasemaji wakuu bana
 
BARAZA la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limeandaa kongamano kubwa la vijana tarehe 09/12/2013 Jumatatu jijini Dar es salaam kwenye ukumbi wa Landmark mahususi kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanzania

Mgeni rasmi wa kongamano hili litakaloanza saa tatu asubuhi atakuwa FREEMAN AIKAEL MBOWE (MB) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi ya upinzania bungeni.

Mh Mbowe atatumia fursa hii kuzungumza na vijana wa Tanzania ya mustakabali wao ndani ya Taifa na ataambatana na wageni wazungumzaji ambao ni Tundu Antipas Lisu (MB) mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika (MB), Mabere Marando Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na gwiji la sheria nchini, Halima James Mdee (MB) na Dr KAmilius Kasala guru la masuala ya uchumi nchini.

Vijana na wanachni kwa ujumla mnakaribishwa kwenye shughuli hii ambayo itakuwa ni mbadala wa mizinga ya uwanja wa taifa siku hiyo kwa kuitafakari zaidi Tanzania yetu.

Pamoja Sana..
Asante kwa Taarifa manake hiyo siku nilipanga Nikomae hom tu..
 
landmark panatosha kweli? mbona isiwe nje ktk eneo la wazi?
kila lakheri, tunaisubili hiyo jumatatu!
 
wewe nae sijui umekurupukia wapi,kongamano ni la vijana,kujadili mambo yanayousu vijana wa taifa hili,sasa zzt na dr wa nini hapo wakati sio kongamo la kuwajadili wao..wanaweza wakaja wakajumuika na watu wengine kama kawaida. sio lazima wawe wasemaji wakuu bana

Anataka waje Wajikoshe..
Hao wasubiri siku walizopewa Wakajitetee hiko.. Kwa sasa Chama kinasonga Mbele na Watu Makini sio Mamluki wa Magamba!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom