Freeman Mbowe, kada mtiifu wa CCM aliyepewa uenyekiti CHADEMA

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Freeman Mbowe, kada mtiifu wa CCM aliyepewa uenyekiti Chadema.
Igwe wana JF,

Japo wengi hawaelewi hadi siku yawatokee wao kuna haja ya kuweka kumbukumbu sawa. Wengi wanamjua Freeman Mbowe kama kiongozi wa CHADEMA na KUB ila kwa uhalisia wa mambo kuna kazi zaidi ya hiyo, Mbowe huyu ni zaidi ya wengi wamjuavyo.

Ni ngumu kung'amua haya kama uwezo wako kifikra ni wa kawaida au chini ya wastani lakini kwa watu walio timamu wanalijua hili. Mbowe aliyeshiriki uchaguzi mwaka 2005 aliushangaza umma wa watanzania pale alipohudhuria kuapishwa kwa JK huku akicheka kwa bashasha na kutoa vijembe kwa Lipumba ambaye hakuridhika na matokeo.

Mbowe huyu ni mwanachama wa makundi maarufu ndani ya CCM amabapo mara nyingi amekuwa akipigia chapuo baadhi ya wagombea anaowapenda. Mbowe, ni Team Lowassa, Team Membe.......nk anachokifanya ni kuchanga karata zake vema ili yeyote akitokea mambo yake yanakwenda sawa. Mbowe huyu huyu ndiye aliyemtabiria urais Magufuli huko Hai wakati akizindua barabara...alitamka hadharani anataka ''chuma'' mithili ya Magufuli.

Kwa sasa kazi yake kubwa ndani ya Chadema ni kukwepesha malengo ya Chadema, anahakikisha Chadema inapoteza ''focus''. Hapa pia ni wachache walio timamu wataelewa. Ukada wa Mbowe ni hakika. Kwa sasa ni dhahiri Chadema imegeuzwa tawi la CCM.
 
Hivi, una tatizo gani na Freeman. Huyu Freeman si ndiye mnayesema ameng'ang'ania uwenyekiti miaka nenda rudi. Sasa mnabadili tuhuma. Angekuwa kada wa ccm, angeharibiwa greenhouse yake vile?.Au ulikuwa unamaanisha yule Mwenyekiti wa ATC wazaledo ?. Endela tu kutengeneza fitina, ila nakukumbusha kuwa umesahau kuweka namba yako za simu .
 
Samahani wadau wenzangu natoka nje ya mada kidogo tu!.....
Hivi Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA anekwishachaguliwa au anaendelea yule yule anayekaimu..nadhani anatokea ZNZ
 
Wengi wanamjua Freeman Mbowe kama kiongozi wa Chadema na KUB ila kwa uhalisia wa mambo kuna kazi zaidi ya hiyo,Mbowe huyu ni zaidi ya wengi wamjuavyo.
Mkuu Wakudadavuwa, kwa mawazo yangu, it's not fair na sii busara disclose privileged info kwa kuanika hadharani siri za ndani kabisa za watu, ambazo ulizipata kwa privilege wakati ukitoa zile huduma "hizi na zile", huku sii kumtendea haki Mhe. Mbowe, kwa sababu, najua unayasema haya kwasababu uliumia, unaumia na utaendelea kutumia, hivyo umeamua na wewe umuumize na kuwaumiza walioshika ukanda sasa, na wao wakujue kuwa na wewe ni among the few privileged ones, wanaomjua Mhe. Mbowe kwa undani na Kwa karibu kabisa zaidi ya wengi tumjuavyo. Ni kutokana na ukaribu wenu ndio ulikopata hizi info. Unavyofanya hivi, sio tuu unamuaibisha Mhe. Mbowe kwa kumfanya ni snitch ili asiaminike, bali pia unajiaibisha wewe mwenyewe bila kukujua kwa kutoa siri za ndani za mtu wako wa karibu, hivyo wale wengine wote uliowahudumia wakati ukiwa kule!, nao sasa ndio watajua kuwa walidhani ni wao tuu, kumbe ulikuwa ni "cha wote" hadi Mwenyekiti!, pia lakini pia unamdhalilisha na unamnyong'onyeza huyo uliyenae sasa, kujiona kavuta "cha wote" which is not fair at all!.

Reference ya umeumia ni hii
Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015! - JamiiForums

Ila naye huyu Mhe nae amezidi, nachofanya nae it's not fair, baada ya k..la huu mzigo!, mzigo ulikuta ukaoza, lakini bado akaupiga chini bila huruma!, lazima mtu utaumia!. Na haya sasa ndio matokeo ya zoa zoa kuparamia kila kipitacho mbele ya macho yake!. Japo kuna watu wanaamini nyama ni nyama tuu, lakini kiukweli kuna midege mingine hailiwi!, ona sasa Mhe anavyodhalilishwa na kuaibishwa kwa siri zake za ndani kabisa, za chumbani alizozitoa kwenye "haya na Yale" sasa zinamwagwa hadharani!.

Natoa wito kwa sisi wababa, tunapo amua 'kubadili mboga' kwa 'mpango Kando', tuchague vitu super wenye heshima zao na wanaojitambua na kujiheshimu, na sio kujiokotea tuu kila mazagazaga tunayokutana nayo.

Wito kwa dada zetu, unapikiwa na mtu, hata kama ni ndio wa kwanza wako aliye kufungua, ukipata siri zeko, kisha mkaachana, kamwe usitoe nje, siri zake za ndani ulizopata wakati mko nae!, hata ukimpigwa chini na mtu uliyempenda sana, kila akimuona anaumia, hivyo anamwaga siri zake za ndani ndani kabisa hadharani ili na yeye uumie!, it's not fair.

P.
 
Back
Top Bottom