Freeman Mbowe is ready to bring in the House statistics showing that Magufuli is biased towards certain appointments

OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
24,829
Likes
22,490
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
24,829 22,490 280
Dodoma. Leader of the official Opposition Camp in Parliament Freeman Mbowe has said he is ready to bring in the House statistics showing that President John Magufuli is biased towards certain appointments.

Mr Mbowe, who is MP for Hai Constituency in Kilimanjaro Region made the statement in Parliament yesterday during debate on the National Development Plan for 2018/19.

He said President Magufuli’s appointments had been isolating some zones contrary to traditional practices by retired Presidents.

His statement was provoked by the contribution of Sumve MP Richard Ndassa (CCM), who said lawmakers had diverted from debating the National Development Plan agenda to regionalism.

“I have observed that all contributions from day one to date have diverged from the main line. Let’s not focus on the regionalism agenda,” Mr Ndassa said.

“After we are done with debating zones, definitely the topic will switch to tribalism and then to religions. So, please, let us maintain our focus on the development agenda.”

“After we are done with debating zones, definitely the topic will switch to tribalism and then to religions. So, please, let us maintain our focus on the development agenda.”

“A lot has been said about our Head of State that he has done this and that in the Lake Zone, but there are so many things happening across the country, even the decision of shifting the country’s capital to Dodoma was announced in Mwanza,” he added.

In his contribution, Mr Mbowe seconded his Sumve counterpart that they shouldn’t focus on regionalism, but he suggested to look into the main root of the debate.

“Let’s think of the main cause and why hasn’t it been raised before? This means there is something wrong somewhere. As a nation we must be fair and just,” he said.

“There are things happening in the country that tend to isolate some citizens. If we can’t speak up, then it will be dangerous for our future,” he added.

“Historically, his predecessors ensured that the appointments were equally distributed to all regions and there were no complaints,” he stressed.

Source:The Citizens
 
darcity

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Messages
4,112
Likes
5,847
Points
280
darcity

darcity

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2009
4,112 5,847 280
Zimejaa ukanda,dini na kabila ndio maana uchumi unasuasua kwa sababu hakuna mchanganyiko sahihi wa mawazo na uzoefu wa kukabiliana na changamoto.

Infact Mbowe pia anajisahau kuwa hata teuzi cha CHADEMA nazo zimejaa ukanda na ukabila na hata udini. Aache unafiki.
 
mwanamwana

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Messages
562
Likes
1,089
Points
180
mwanamwana

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2011
562 1,089 180
Hata teuzi za CHADEMA zina upendeleo pia, zimejaa ukanda/ukabila na udini. Kabla KUB hajaishambulia Serikali ni vyema akaanza kusafisha kwake kwanza...

Mifano ipo mingi sana

- Nafasi nyingi na nyeti chadema zimeshikwa na wanachama kutoka kaskazini.
- Ubunge viti maalum 2010 - mpaka leo zimejaa upendeleo kwa kupewa mahawara/ndugu/jamaa wa vigogo wa chama

1. Joyce Mukya - Kimada wa Mbowe
2. Anatropia - Kimada wa John Mrema
3. Susane Maselle - Mke wa Makene
4. Lucy Owenya - Mtoto wa Ndesamburo
5. Marehemu Christina Lissu - Dada wa Tundu Lissu
6. Grace Kiwelu - Mkwe wa Ndesamburo
7. Sabrina Sungura - Kimada wa Komu
8. Mama Maulida Anna Komu - Ndugu wa Komu
9. Rose Kamili - Alikuwa mke wa Slaa
10. Mama Lowassa - Alitaka kupendelewa akawachomolea
11. Lowassa kahamia na wanachama kibao na watatu ni wabunge viti maalum.
12. List inaendelea na ni ndefu maana Kubenea ana hawara ni viti maalum....
13. Kuna wabunge viti maalum wachaga wamepewa ubunge uwakilishi mikoa mingine, wenyeji walilalamika sana
14. Jesca Kishoa - Mke wa Kafulila
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
45,748
Likes
16,093
Points
280
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
45,748 16,093 280
hahahaha chadema ubaya kwenye hii vita ya dhidi ya watu wa kanda ya ziwa watashindwa na ubaya wanajua fika hawana uwezo wa kushinda vita hii...na mara nyingi kwenye vita hii chadema ndio huumia.....
 
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
21,598
Likes
63,402
Points
280
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
21,598 63,402 280
Eeeeeeeh
Kiongozi wa wapiga kelele hicho anataka kusukuma cha vyeo.. eti kitawasaidia mbeleni eeeeeeeh

Yaani upinzani wapo honeymoon waijuayo wao awamu hii.. hawajali kabisa wananchi na kutaka kuona maendeleo.
 
manuu

manuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Messages
4,072
Likes
9,738
Points
280
manuu

manuu

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2009
4,072 9,738 280
Na asipoelezwa ili apunguze upendeleo wa wakwao na kanda yao baada ya kiwanja cha ndege Chatle atakuja na bandari kavu kule kule chatle.
 
Mzee wa hat-trick

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
1,751
Likes
2,322
Points
280
Age
36
Mzee wa hat-trick

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2016
1,751 2,322 280
Hata teuzi za CHADEMA zina upendeleo pia.
Sasa hapa Chadema wameingiaje tena.??? Kwani huoni kwamba kwa hiyo kauli anawatetea mpk CCM wa mikoa/kanda tofauti pia..??
 
social_science

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Messages
795
Likes
805
Points
180
social_science

social_science

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2015
795 805 180
unamwaibisha mtukufu na serikali yake,wanawake bwana!
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
18,278
Likes
30,004
Points
280
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
18,278 30,004 280
Kama Mbowe analalamikia Ukabila Acha nami nilalamikie Udini!

90% ya Wasukuma wanaoteuliwa ni wa dini Moja !

Tukitetea kuwa Rais hatazami dini anatazama Sifa na utendaji Basi pia namtetea Rais kuwa hatazami Kabila anatazama Sifa sio Kabila
 
gungele

gungele

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Messages
1,649
Likes
1,212
Points
280
Age
34
gungele

gungele

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2015
1,649 1,212 280
Kwa chadema hii hoja hawapaswi kuishadadia sababu inawaumbua
 
C

Chajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
270
Likes
190
Points
60
C

Chajo

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
270 190 60
Hata teuzi za CHADEMA zina upendeleo pia.
Chadema siyo nchi. Serikali inapenda copy and paste bila kufikiri mara mbili, siyo? Ndiyo maana mkiona dikteta huyu anawafanyia hivi watu wake na nyie kesho yake mta-copy na paste. Shame on you with your magulifications!!
 
Bill

Bill

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
4,867
Likes
2,101
Points
280
Bill

Bill

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
4,867 2,101 280
Hii dhambi hii mkiiwa watendaji mkiona mtu mwingine tu anawatendea mnakuwa wa kwanza kupiga kelele kwa kuwa ipo akili mwenu.
Nilipinga sana teuzi za Viti maalumu ubunge CHADEMA pale unapokuta ni wa kulekule Kilimanjaro ndio wamechukua nafasi kubwa.

Pale Morogoro aliteuliwa Devota Minja mpaka nikajiuliza hivi Waluguru, Wakaguru, na Wapogoro hakuna alofaa kuwa Vitu maalumu???

Hii dhambi inabidi ipingwe kotekote kuanzia Serikalini hadi ndani ya vyama. CHADEMA hawawezi kujivua katika hili, ni wakanda namba moja, CCM wao walikuwa na Chama kina Wenyewe sasa wanavuka kwenye hiyo hatua ya wenyewe na kurudi kwa wananchi.

Ikiwa hili la teuzi za Serikali ni za Kikanda, inawezekana liangaliwe kwa umakini lakini isiwe no topic ya kuataka kuinukia kisiasa huku ukitengeneza migawanyiko kwa wananchi kwa kuhutubia migawanyiko. Ni upuuzi.
 
gollocko

gollocko

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
2,944
Likes
1,756
Points
280
gollocko

gollocko

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
2,944 1,756 280
Hapa ndipo nawashangaa wabunge wa ccm, Mh Ndasa amekimbilia kumjibu Mbowe kuwa tusijiingize kwenye mambo yasioyamaana na tujikite kwenye mambo ya msingi ya maendeleo. Nilitegemea Ndasa angetuambia hayo mambo ya maendeleo tunayotakiwa kuyajadili ni yepi, badala yake kadandia hoja ya mwenzake
 
Ghamoghi

Ghamoghi

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
739
Likes
1,503
Points
180
Ghamoghi

Ghamoghi

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
739 1,503 180
Hili ni dhahiri kabisa japo wapo wanamtetea

Nchi ya viwanda tutazidi kuisikia masikioni tu tukiendelea kuendekeza mambo haya
 
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
3,585
Likes
4,762
Points
280
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
3,585 4,762 280
Dodoma. Leader of the official Opposition Camp in Parliament Freeman Mbowe has said he is ready to bring in the House statistics showing that President John Magufuli is biased towards certain appointments.

Mr Mbowe, who is MP for Hai Constituency in Kilimanjaro Region made the statement in Parliament yesterday during debate on the National Development Plan for 2018/19.

He said President Magufuli’s appointments had been isolating some zones contrary to traditional practices by retired Presidents.

His statement was provoked by the contribution of Sumve MP Richard Ndassa (CCM), who said lawmakers had diverted from debating the National Development Plan agenda to regionalism.

“I have observed that all contributions from day one to date have diverged from the main line. Let’s not focus on the regionalism agenda,” Mr Ndassa said.

“After we are done with debating zones, definitely the topic will switch to tribalism and then to religions. So, please, let us maintain our focus on the development agenda.”

“After we are done with debating zones, definitely the topic will switch to tribalism and then to religions. So, please, let us maintain our focus on the development agenda.”

“A lot has been said about our Head of State that he has done this and that in the Lake Zone, but there are so many things happening across the country, even the decision of shifting the country’s capital to Dodoma was announced in Mwanza,” he added.

In his contribution, Mr Mbowe seconded his Sumve counterpart that they shouldn’t focus on regionalism, but he suggested to look into the main root of the debate.

“Let’s think of the main cause and why hasn’t it been raised before? This means there is something wrong somewhere. As a nation we must be fair and just,” he said.

“There are things happening in the country that tend to isolate some citizens. If we can’t speak up, then it will be dangerous for our future,” he added.

“Historically, his predecessors ensured that the appointments were equally distributed to all regions and there were no complaints,” he stressed.

Source:The Citizens
Mheshimiwa Mbowe badala ya kuungana na wabunge wa CCM kuibana serikali kwenye masuala ya uchumi anaanzisha mjadala wa kikanda na kabila. Mbona viongozi wote waandamizi wa Chadema wanatoka kaskazini.
 
Forum statistics

Threads 1,237,074
Members 475,401
Posts 29,277,378