Freeman Mbowe, Godbless Lema, Lazaro Nyalandu na John Mrema Wakutana kwenye Mazishi ya Mchungaji Look Mushi Hai

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Mhe Freeman A. Mbowe (Wapili kutoka kushoto) akiwa na Mbunge wa Arusha mjini,Mhe Godbless Lema ,Aliekua Waziri wa Mali Asili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itikadi,Uenezi na Mambo ya Nje CHADEMA,John Mrema,kabla ya kuelekea kwenye msiba wa Mkuu wa jimbo mstaafu (Mchungaji Looka Mushi) huko jimboni Hai,leo Ijumaa 17/11/2017

lema2.jpg
 
Mahakama ya mafisadi ipo mwaka unaenda wa pili sasa hakuna kesi hata moja, kwanini msiwapeleke hao ili angalau mahakimu wa hiyo mahakama wawe na kazi sio wanalipwa mshahara wa bure

mwizi wa magari,muuza mihadarati,muuza vitalu na mchungaji fake genge lenye dhamira ya pesa!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Mhe Freeman A. Mbowe (Wapili kutoka kushoto) akiwa na Mbunge wa Arusha mjini,Mhe Godbless Lema ,Aliekua Waziri wa Mali Asili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itikadi,Uenezi na Mambo ya Nje CHADEMA,John Mrema,kabla ya kuelekea kwenye msiba wa Mkuu wa jimbo mstaafu (Mchungaji Looka Mushi) huko jimboni Hai,leo Ijumaa 17/11/2017

View attachment 632233
Yaani asiye mchaga kwenye hilo kundi ni nyalandu tu wengine wote wachaga watupu na wote viongozi wa juu wa Chadema
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Mhe Freeman A. Mbowe (Wapili kutoka kushoto) akiwa na Mbunge wa Arusha mjini,Mhe Godbless Lema ,Aliekua Waziri wa Mali Asili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itikadi,Uenezi na Mambo ya Nje CHADEMA,John Mrema,kabla ya kuelekea kwenye msiba wa Mkuu wa jimbo mstaafu (Mchungaji Looka Mushi) huko jimboni Hai,leo Ijumaa 17/11/2017

View attachment 632233
CHADEMA IMELAMBA DUME, MAJIKE NI AKINA NANI HUKO MPAKA MADUME HAYAKUWAPO??
a picture speaks volume, naliona dume hapo!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Mhe Freeman A. Mbowe (Wapili kutoka kushoto) akiwa na Mbunge wa Arusha mjini,Mhe Godbless Lema ,Aliekua Waziri wa Mali Asili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itikadi,Uenezi na Mambo ya Nje CHADEMA,John Mrema,kabla ya kuelekea kwenye msiba wa Mkuu wa jimbo mstaafu (Mchungaji Looka Mushi) huko jimboni Hai,leo Ijumaa 17/11/2017

View attachment 632233
Picha hii kuna watu inawauma mno.
 
MAHAKAMA YA MAFISADI IPO MWAKA UNAENDA WA PILI SASA HAKUNA KESI HATA MOJA, KWANINI MSIWAPELEKE HAO ILI ANGALAU MAHAKIMU WA HIYO MAHAKAMA WAWE NA KAZI SIO WANALIPWA MSHAHARA WA BURE
mzee wa vijicenti anatesa tu mjini mahakama mbao zinaliwa na mende
 
Back
Top Bottom