Freeman Mbowe:Chama cha siasa lazima kiwe na fikra mpya kila wakati. Fikra mpya hazipatikani kwa kuzaliwa nayo bali kwa kusikiliza viongozi wenzako

Tanzania Hakuna demokrasia kwenye chama chochote cha siasa!!....

Tofauti ni kuwa waliokuwa madarakani wanatumia dola kuzima fikra hasi dhidi yao na walio nje ya dola wanatumia lugha chafu na zenye kuudhi dhidi ya hoja zinazokinzana na mitazamo yao....!!!!!.....

CCM inaendesha chaguzi ambazo zinaitwa za kidemokrasia huku tukiwa ikiwa na matokeo mfukoni.......

Huku chama Cha Demokrasia na Maendeleo mwenyekiti wake ametoa ukomo wa uenyekiti......!!

Kinachofanya siasa za Tanzania kuwa rahisi ni kuwa Watanzania wameshaachana na matumizi ya fikra zao bali wanaendeshwa na mihemko ya matukio......!!!!

Ukombozi wa Kweli wa taifa hili utaanza pale siku mwananchi atakapoanza kutumia akili yake kutafakari mambo yanayomzunguka.....na huo ndio utakuwa mwisho wa wanasiasa uchwara wanaohubiri kile wasichokitenda!!!....
 
Lichama lake linaendelea kuporomoka.
Japo sina unasaba lakini nikipita huko mikoani naona bendera zao mpya zinasimikwa. Sasa haya Maneno ya huku Jf nashindwa kuyaelewa.
Itoshe tu kusema kuwa ikiwa Chadema haikufa wakati wa Wasira na Nchemba, haitàkufa wakati wowote ule.
Kumbukeni aina ya maisha ya Mtanzania na mapokeo ya siasa ya vyama vingi.
Naamini Augustine Mrema ndiyo aliyeweka msingi imara wa Chadema kuwa ilivyo na itakavyokuwa kwa wananchi.
 
Endelea kujiaminisha. Hiyo ni haki yako kikatiba.
 
Anaongoza Kusanyiko la SACCOS/ViCOBA kufuatilia marejesho. Weekend ni siku za SACCOS na vikao vya harusi.
 
"Chama cha siasa lazima kiwe na fikra mpya kila wakati. Fikra mpya hazipatikani kwa kuzaliwa nayo bali kwa kusikiliza viongozi wenzako"

"Huu si wakati wa chama kulalamika, ni wakati wa chama kuwa na action with action plan,"

"Tulilemaa katika njia ya mikutano ya hadhara na tukaamini ndio njia pekee ya kukijenga chama,"

"Chama cha siasa lazima kiwe na fikra mpya kila wakati. Fikra mpya hazipatikani kwa kuzaliwa nayo bali kwa kusikiliza viongozi wenzako",

"Huu si wakati wa chama kulalamika, ni wakati wa chama kuwa na action with action plan,"

"Tulilemaa katika njia ya mikutano ya hadhara na tukaamini ndio njia pekee ya kukijenga chama

"Hakuna chama rahisi kukiuza kama Chadema. Tunahitaji kuwafikia wananchi na kuwashawishi tu,"

"Hakuna chama rahisi kukiuza kama Chadema. Tunahitaji kuwafikia wananchi na kuwashawishi tu,"

"Tunaweza kuikamata Dola lkn lazima tubadili style yetu",

"Tunahitaji kujenge one Liberation Army, hivyo tusidharau MTU yoyote, "

"Siku tukimwonyesha Magufuli maana ya People's Power, tutaheshimiana",

"Tunaweza kuikamata Dola lkn lazima tubadili style yetu",

"Tunahitaji kujenge one Liberation Army, hivyo tusidharau MTU yoyote, "

"Siku tukimwonyesha Magufuli maana ya People's Power, tutaheshimiana",
Mbowe ameanza kampeni na kucheza na akili za makamanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom