Freeman Mbowe:Chama cha siasa lazima kiwe na fikra mpya kila wakati. Fikra mpya hazipatikani kwa kuzaliwa nayo bali kwa kusikiliza viongozi wenzako

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
"Chama cha siasa lazima kiwe na fikra mpya kila wakati. Fikra mpya hazipatikani kwa kuzaliwa nayo bali kwa kusikiliza viongozi wenzako"

"Huu si wakati wa chama kulalamika, ni wakati wa chama kuwa na action with action plan,"

"Tulilemaa katika njia ya mikutano ya hadhara na tukaamini ndio njia pekee ya kukijenga chama,"

"Chama cha siasa lazima kiwe na fikra mpya kila wakati. Fikra mpya hazipatikani kwa kuzaliwa nayo bali kwa kusikiliza viongozi wenzako",

"Tulilemaa katika njia ya mikutano ya hadhara na tukaamini ndio njia pekee ya kukijenga chama

"Hakuna chama rahisi kukiuza kama Chadema. Tunahitaji kuwafikia wananchi na kuwashawishi tu,"

"Tunaweza kuikamata Dola lkn lazima tubadili style yetu",

"Tunahitaji kujenge one Liberation Army, hivyo tusidharau MTU yoyote, "

"Siku tukimwonyesha Magufuli maana ya People's Power, tutaheshimiana",

Fikra mpya zinapatikana kwa kuachiana uongozi wanakuja wapya lakini sasa wewe Mbowe umekomalia uenyekiti miaka nenda rudi.
Kama ndio hivyo socrates angemwachia mjadala plato fikra mpya zingetoka wapi?

Ulivyo kiazi hujui kuwa mijadala na mikutano au mikusanyiko ilipelekea aristotle kugundua masomo mbali ya sayansi ikiwemo biolojia na hesabu.

Sasa swala la uenyekiti wa Chadema linalisaidia vipi taifa
 
Mbowe ndo kayasema haya au wewe ndo unamwambia
"Chama cha siasa lazima kiwe na fikra mpya kila wakati. Fikra mpya hazipatikani kwa kuzaliwa nayo bali kwa kusikiliza viongozi wenzako"

"Huu si wakati wa chama kulalamika, ni wakati wa chama kuwa na action with action plan,"
 
Fikra mpya zinapatikana kwa kuachiana uongozi wanakuja wapya lakini sasa wewe Mbowe umekomalia uenyekiti miaka nenda rudi.
Unataka kusema mbowe kuondoka kwenye uenyekiti wa chadema aliokalia sijui miaka mingapi ni muhimu zaidi kuliko ccm iliyotutawala for more than 57 years kuendelea kukaa madaraka huku umasikini, ujinga na maradhi vikiendelea kutamalaki Tanzania. Du ndo maana mnaitwa wanyonye maana mnaonekana ninyi ni hamnazo
 
Fikra mpya zinapatikana kwa kuachiana uongozi wanakuja wapya lakini sasa wewe Mbowe umekomalia uenyekiti miaka nenda rudi.
Kamwambie Lipumba na Cheyo pamoja na Mrema,kwani hao sio wenyeviti was vyma? Kwanini mmemkazania Mh Mbowe peke yake?

Kingine kwanini maccm mnataka kuwapangia chadema viongozi wao? Wanachaguana kwa utaratibu wao wa kikatiba,nongwa ya nini?
 
"Chama cha siasa lazima kiwe na fikra mpya kila wakati. Fikra mpya hazipatikani kwa kuzaliwa nayo bali kwa kusikiliza viongozi wenzako"

"Huu si wakati wa chama kulalamika, ni wakati wa chama kuwa na action with action plan,"

"Tulilemaa katika njia ya mikutano ya hadhara na tukaamini ndio njia pekee ya kukijenga chama,"

"Chama cha siasa lazima kiwe na fikra mpya kila wakati. Fikra mpya hazipatikani kwa kuzaliwa nayo bali kwa kusikiliza viongozi wenzako",

"Huu si wakati wa chama kulalamika, ni wakati wa chama kuwa na action with action plan,"

"Tulilemaa katika njia ya mikutano ya hadhara na tukaamini ndio njia pekee ya kukijenga chama

"Hakuna chama rahisi kukiuza kama Chadema. Tunahitaji kuwafikia wananchi na kuwashawishi tu,"

"Hakuna chama rahisi kukiuza kama Chadema. Tunahitaji kuwafikia wananchi na kuwashawishi tu,"

"Tunaweza kuikamata Dola lkn lazima tubadili style yetu",

"Tunahitaji kujenge one Liberation Army, hivyo tusidharau MTU yoyote, "

"Siku tukimwonyesha Magufuli maana ya People's Power, tutaheshimiana",

"Tunaweza kuikamata Dola lkn lazima tubadili style yetu",

"Tunahitaji kujenge one Liberation Army, hivyo tusidharau MTU yoyote, "

"Siku tukimwonyesha Magufuli maana ya People's Power, tutaheshimiana",
Endeleeni kuweweseka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom