Freeman Mbowe azindua siasa mpya za CHADEMA huku akitangaza idadi rasmi ya wanachama

Mimi mlipa Kodi ambaye ruzuku yangu ndio chadema mnaila

Maneno ya Mbowe Ni porojo tu za kampeni .Website tu ya chadema haipo.Mnakaa kusikiliza porojo za digital digital mwongo mkubwa website tu ya chama imemshinda na miruzuku yote anayopata anakula bila kunawa.Website Ni Bei ndogo tu lakini imemshinda
Hiyo ruzuku ni sh ngapi? Acho roho ya kimaskini na uchawi Wewe Dada!
 
Naona wanataga wapige sasa yaan Ada 2000 kwa mwaka kwa kipi wanachofanya

Naona kuanzia mwakani ruzuku inakata, maana kura za urais hawatapata za kutosha na wabunge hawatavuka 3
Kwa ramli tu, umewashiinda magwiji, wale marehemu wawili.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema baada ya kuzuiliwa mikutano ya hadhara kwa hila chama hicho kimeimarika maradufu.
View attachment 1289779
Akihutubia mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema katija ukumbi wa Mlimani City kiongozi huyo amesema chama hicho kiliamua kufanya siasa mpya za kuzunguka kata zote nchini kuandikusha wanachama na kufanya mikakati ya ndani.

Mbowe amesema chama hicho hakitamani tena siasa za mikutano ya hadhara kwani wamegundua mikutano ya ndani ndiyo njia muhimu zaidi ya kujijenga kwani kuna uhalisia na unaweza kupima matokeo

Katika hatua nyingine Mbowe ametangaza rasmi idadi ya wanachama wa Chadema wenye kadi na kusema imefikia milioni 6.

Mbowe amesema chama kina database ya wanachama wote milioni 6 kwamba wapo wapi na jinsia yao ikiwemo idadi ya vijana,wazee,watoto,wanawake na wanaume.

Muda wote Mbowe alikuwa anashangiliwa kwa shangwe na mayowe na wanawake hao Bawacha kiasi kwamba wakati mwingine hotuba yake ilikuwa haisikiki vyema kwa kushangiliwa.

Kiongozi huyo wa Chadema amesema pia chama hicho siku ya mkutano mkuu tarehe 18 Dec kitazindua rasmi program ya chama ijulikanayo kama CHADEMA DIGITAL.Katika program hiyo wanachama watatumia simu zao kupata taarifa zote za chama na pia kulipia ada za uanachama.Pia Mbowe amesema ataliomba Baraza Kuu kuidhinisha ada ya uanachama kuwa shilingi elfu 2 badala ya elfu 1 kwa mwaka.
Baada ya baba kumnunulia mtoto kandambili badala ya viatu mtoto asikika akisema " rafiki zangu wanasema napendeza zaidi kuvaa kandambili kuliko viatu" what a stupid rationale.

KWENYE LA CHADEMA DIGITAL
Vipi kama CCM wakiwa ndio member wa CHADEMA DIGITAL how will they know?

Wacha tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema baada ya kuzuiliwa mikutano ya hadhara kwa hila chama hicho kimeimarika maradufu.
View attachment 1289779
Akihutubia mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema katija ukumbi wa Mlimani City kiongozi huyo amesema chama hicho kiliamua kufanya siasa mpya za kuzunguka kata zote nchini kuandikusha wanachama na kufanya mikakati ya ndani.

Mbowe amesema chama hicho hakitamani tena siasa za mikutano ya hadhara kwani wamegundua mikutano ya ndani ndiyo njia muhimu zaidi ya kujijenga kwani kuna uhalisia na unaweza kupima matokeo

Katika hatua nyingine Mbowe ametangaza rasmi idadi ya wanachama wa Chadema wenye kadi na kusema imefikia milioni 6.

Mbowe amesema chama kina database ya wanachama wote milioni 6 kwamba wapo wapi na jinsia yao ikiwemo idadi ya vijana,wazee,watoto,wanawake na wanaume.

Muda wote Mbowe alikuwa anashangiliwa kwa shangwe na mayowe na wanawake hao Bawacha kiasi kwamba wakati mwingine hotuba yake ilikuwa haisikiki vyema kwa kushangiliwa.

Kiongozi huyo wa Chadema amesema pia chama hicho siku ya mkutano mkuu tarehe 18 Dec kitazindua rasmi program ya chama ijulikanayo kama CHADEMA DIGITAL.Katika program hiyo wanachama watatumia simu zao kupata taarifa zote za chama na pia kulipia ada za uanachama.Pia Mbowe amesema ataliomba Baraza Kuu kuidhinisha ada ya uanachama kuwa shilingi elfu 2 badala ya elfu 1 kwa mwaka.

Na watu tujiandikishe uanachama online
 
unnamed.jpg
 
hizo data ni za uongo. kila siku wana CHADEMA wanahamia CCM halafu huyu dj anasema chama kimeimarika? utapeli huu
Nawaelimisha ccm kila siku lakini hawaelimiki hata kidogo! Wewe mbwiga uliyehitimu elimu ya chuo Cha kata, mwalimu wako hakukufundisha kuwa utafiti hupingwa kwa utafiti kwa maana kuwa data hupingwa kwa data?
Mbowe kaleta data mezani so, ingia field ulete za kwako! Punguzeni uzwazwa humu!
 
Si waliwahi kusema vikao vya ndani havifai wakimaanisha ni nani atakayewasikia?kwamba wamezuiliwa kufanya mikutano ya hadhara...ni kama vichekesho fulani hvi

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Back
Top Bottom